Kassimu Mchuchuri
Member
- Aug 9, 2018
- 95
- 294
Sema wewe huoi usimsemee kila mtu
Hahaha hapo ulipotenganisha wanaume na wavulana nimekuelewa. Maana unaweza kumuona mke wa mtu amevaa kiguo hicho hadi unajiuliza huyu ametoka hivi na mumewe kamruhusu kutoka namna hii?Ametuwakilisha vema ni kweli wanaume atuhoi labuda wavulana
Hilo linaeleweka sana tuu...
Ukweli mtupu, hao wavaa vichupi hutumika kama viburudisho ila waolewaji ni wale wenye akili na utashi wa kujiongoza.
Vaa kama izo emoj[emoji126][emoji126][emoji126]tuvaeje ndo mtuoe sasa jamani!
Msaada, hivi slay queen ni mtu/ mwanamk waina ganii.Ukweli wasiopenda kuskia dada zetu,Sisi hatuoi wakaa uchi labda kula na kusepa tu.
mke bora lazma ajiheshimu na kuheshimu jamii yake,kuvaa vinguo vifupi inayoonesha na kuchora baadhi ya viungo vyako vya siri ni kuitamanisha jamii yako.Sasa kweli huyo mtu umuweke ndani si utakua umeiolea dunia.Uzungu una waathiri sana wanawake zaid ya wanaume ndo mana kuna ongezeko la maslay queen mtaani
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Kweli vile, ila yule dogo wa Amber Ruty ndiye katusaliti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]