Lukataluko
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 1,345
- 1,573
Sisi wakinga ,chanzo cha utajiri wetu mbona siyo Siri? uwa mmoja alee wenzake.
Yeah, hili nalo ni tatizo kubwa sana, watu wengi wanajaribu kuhalalisha umasikini wao kwa kujiaminisha kuwa kutajirika kihalali haiwezekani.. Mimi naamini kutajirika kihalali inawezekana.Shida masikini wengi tunajiliwaza kwa kudhanj kila mwenye utajiri amefanya dhulma
Na jamii kubwa imejaa watu wenye mawazo haya mAtokeo watu wanachangamkia fursa si tunaanza tu badae tunaanza kuwa tuhumu wakifanikiwaYeah, hili nalo ni tatizo kubwa sana, watu wengi wanajaribu kuhalalisha umasikini wao kwa kujiaminisha kuwa kutajirika kihalali haiwezekani.. Mimi naamini kutajirika kihalali inawezekana.