Kitu ambacho matajiri hawatakuambia kamwe!!!

Kitu ambacho matajiri hawatakuambia kamwe!!!

Shida masikini wengi tunajiliwaza kwa kudhanj kila mwenye utajiri amefanya dhulma

True mkuu, kufanikiwa kunahitaji akili zaidi ya ile ya darasani unakuta mtu ana invest 7M inamzalishia 15,000/= per day it's crazy itamchumkua miaka miwili kurudisha pesa aliyo invest
 
Soma vitabu walivyoandika. Kwani wewe huwa unaongelea kila kitu wazi
 
Kuna Ukweli, Baba yangu ni Tajiri ila kwa kweli Najua Madhambi yake Mengi.
 
shida ya umasikini ndio hii mawazo yako negative sana na anajiona yeye ni mwema asiyedhulumu watu lakini kuna watu wengi waliona fursa na wakapambana sana wakatoka!
 
Kwahiyo unataka nikitajirika nije kijiweni nikwambie nilikopita, kwahiyo nikikwambia nimetajirika baada ya kuuwa wazazi wangu na ww utafanya au sio mbongo mwenzangu [emoji23][emoji23], utajiri ni kuwa na malengo mathubuti na kufanya kazi kwa bidii fulu sitopu. Matajiri na waendelee kutuandikia vitabu tu
 
Hakuna tajiri hata mmoja aliefanikiwa kwa njia halali ukitafuta kwa njia halali hutokaa ufanikiwe abadani.matajiri wote wamepata pesa kwa njia haramu then anazisafisha kuwa halali.
 
Umewahi jiuliza inakuaje -watu wanaofundisha wenzao kufanikiwa, maisha yao pia bado ni ya kuunga unga tu na pengine hiyo kazi ya kumotivate watu ndo chanzo cha mkate mezani kwake?

Mwalimu wa marketing na ujasiliamali hana hata kiosk cha mboga mboga!!!!

Basically, wanopaswa kufundisha watu namna ya kufanikiwa ni wale ambao wameshatusua ili wanachokifundisha kiwe ni zao la practical experience na sio merely theory

Ila katu matajiri hawatokaa hata siku moja wakuambie ukweli namna ya kufanikiwa na ni jinsi gani walipata pesa maishani mwao

A matter of fact, asilimia kubwa ya watu waliotoka kimaisha kuna game chafu walizozicheza na kujikuta kwenye direction waliopo Leo, wako:

waliodhurumu
Walioiba
Walioua
Waliotoa makafara
Wanaomiliki jini chuma ulete
Waliodanga na wenye nazo kisha wakawaua wapenzi wao ili walithi mali etc

Haya mambo, hakuna tajiri atakuambia aliyafanya, lnstead atakuhimiza Fanya kazi kwa bidii na weledi.

Mdau leta uzoefu wako ktk hili
Wakiona labda unawabana sana kwa maswali kuhusu chanzo cha utajiri wao,utawasikia changamka kijana mjini hapa.Ila matajiri amabao wanapata hela zao kihali wapo,japo katika 1000 hawazidi watatu.
 
Hayo hayamuhusu mzee wetu Reginald Mengi,, hustling zake zinajulikana
Ushasikia skendo zake za kuifilisi SUKITA na NBC,hebu itafute habari ile ya Rostam Aziz alivyomwaga ugali,baada ya mengi kumweka ktk list yake ya mafisadi wanaoitafuna nchi hii.Ngoja nikuwekee na habari hii na ilivyoweka ndio ikawa mwisho wa vyombo vya habari vya IPP kumuandama Rostam Aziz.Hapo utapata majibu kwanini wafanya biashara wengi hasa wale mafisadi wanapenda kumiliki vyombo vya habari.
MICHUZI BLOG: MAELEZO YA MHESHIMIWA ROSTAM AZIZ KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI, JUMAPILI, 03 MEI, 2009
 
Fanya kazi ikitokea nafasi ya kuiba iba bila hofu
ikitokea kazi ya kudhulumu wewe fanya hivyo
ikitokea unahitajika utoe kafara wewe toa tu

ila msingi ni kufanya kazi huwezi ukatoa kafara ukalala nyumbani kisha hela zikakuangukia kama mvua ya hela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Ushasikia skendo zake za kuifilisi SUKITA na NBC,hebu itafute habari ile ya Rostam Aziz alivyomwaga ugali,baada ya mengi kumweka ktk list yake ya mafisadi wanaoitafuna nchi hii.Ngoja nikuwekee na habari hii na ilivyoweka ndio ikawa mwisho wa vyombo vya habari vya IPP kumuandama Rostam Aziz.Hapo utapata majibu kwanini wafanya biashara wengi hasa wale mafisadi wanapenda kumiliki vyombo vya habari.
MICHUZI BLOG: MAELEZO YA MHESHIMIWA ROSTAM AZIZ KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI, JUMAPILI, 03 MEI, 2009
mnyanwezi wa igunga rostam aziz ana habari nyingi za nchi hii
 
Aslimia kubwa ya mafanikio ni nafasi iliyopatikana na kutumika ipasavyo, mambo ya formula ya mafanikio hayapo
 
Umewahi jiuliza inakuaje -watu wanaofundisha wenzao kufanikiwa, maisha yao pia bado ni ya kuunga unga tu na pengine hiyo kazi ya kumotivate watu ndo chanzo cha mkate mezani kwake?

Mwalimu wa marketing na ujasiliamali hana hata kiosk cha mboga mboga!!!!

Basically, wanopaswa kufundisha watu namna ya kufanikiwa ni wale ambao wameshatusua ili wanachokifundisha kiwe ni zao la practical experience na sio merely theory

Ila katu matajiri hawatokaa hata siku moja wakuambie ukweli namna ya kufanikiwa na ni jinsi gani walipata pesa maishani mwao

A matter of fact, asilimia kubwa ya watu waliotoka kimaisha kuna game chafu walizozicheza na kujikuta kwenye direction waliopo Leo, wako:

waliodhurumu
Walioiba
Walioua
Waliotoa makafara
Wanaomiliki jini chuma ulete
Waliodanga na wenye nazo kisha wakawaua wapenzi wao ili walithi mali etc

Haya mambo, hakuna tajiri atakuambia aliyafanya, lnstead atakuhimiza Fanya kazi kwa bidii na weledi.

Mdau leta uzoefu wako ktk hili
Hakuna kitu kama hicho, ati kutajirika kwa kutoa kafara na kudhulum.
Wanao pata pesa kwa njia hizo si wafanya biashara ni washirikina.
Nikupe siri kubwa na ya kwanza kibiashara:
kwanza: JINYIME, USITUMIE KIPATO CHOTE KUJIENDESHA.
Pili: ZUNGUSHA MTAJI HARAKA SANA.
Tatu: MSHUKURU NA MUOMBE MUNGU UZIMA NA AFYA,

Mimi nilitumia principle hizo katika biashara MIAKA MITANO.
Biashara yangu ikapaa.

Sasa leo, kijana ukipata kidogo ananunua VX kuwakoga wenziwe, mtaji huo unapotea.
 
Unaweza ukaiba, ukadanga, ukaroga, ukadhulumu ukafanya dili zote chafu usiwe tajiri. Utajiri ni zaidi ya hayo .
 
Back
Top Bottom