kitoweo

Hapo Mamba kapatikana, maana kashikwa kwenye muhimili wake
 
..hii inawezekana kweli???
hataaa...sitaki kuamini
 
ngumu kuamini,chui amkamate mamba ktk eneo lake la kujidai?
 
Huyu mleta uzi katukamata masikio yaani anataka atuingize chaka hata mimi kama inagoma vile
kuingia akilini!
 
Duh, msosi poa natamani nimnyang'anye
 
Ukitaka kuamini lipia King'amuzi cha DSTV na angalia channel namba 182 walionesha jinsi alivyomuwinda mpaka akamkamata.
kwa hiyo mwisho wa siku aliweza kumtafuna?!na huyu jamaa hula msosi akiwa juu ya mti aliweza kupanda naye mtini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…