hahahahaha lol!!! kuna mdada colleague basi akaenda kusini kikazi, jina la mkoa kapuni, kule kulikuwa na rafiki yake kipenzi waliosoma naye secondary. Basi akamfahamisha kwamba nitakuwa huko kikazi, basi kuna siku akaalikwa msosi na rafikiye ukaandaliwa pale kwa masaa kuja kuuona akaona mchuzi kama ni mchuzi wa vyura (alidai aliwaon ndani ya bakuli) akaamua kukaa mbali na msosi hamu yote ya kula ikapotea. Ukienda China waambie weye ni vegetarian, vinginevyo ukiomba kitoweo basi unaweza kuletewa nyama ya nyau imetengenezwa vizuriiiii ujichane kwa raha zako.