Kitoweo bila jasho

Kitoweo bila jasho

Ndoa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
1,033
Reaction score
254
KORONGO-CRANE.jpgndege jamii ya korongo ajipatia kitoweo cha samaki kiulaiini toka kwa mchuuzi.
 
Naukumbuka ulle usemi usemao - Kila Mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake!
 
huu ni mfano hai wa UFISADI kwani huyo ndege anachukua akijua haonekani au mdau hawezi kumfanya chochote
 
hii imekaa kitanzania sana hii.
Bi kiroboto and co.
 
Dah halafu jamaa hatoi msaada kabaki kushangaa
 
Back
Top Bottom