Kitomoto hichoooooo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,322
33,126
WIKIENDI%2BKITI%2BMOTOZZZZZZZZZZZZ.jpg
 
anajifanya anampeeenda kumbe hapo anamuwazia kama kashakaangwa tayari kuliwa,na lenyewe limejipweteka kumbe limekaa na bomu bado kulipuka tu.
 
Kwa mnaokula ni sawa tu na hongereni, na msiokula ni sawa pia, ila msiokula acheni kuingilia uhuru wa wenzenu kwa maneno, matusi, vitendo, vijicho. Fuateni yakwenu yanayowapendeza! Kila mmoja ana uhuru wa kuchagua, kusuka au kunyoa. Nawatakia weekend njema
 
Back
Top Bottom