habar wanandugu mimi ni muhanga wa kutapeliwa pesa na ndugu kitomari2 nilidunduliza kiasi cha laki na nusu kwenye kibubu nikiwa na nia ya kuanzisha mradi wa kuku hiyo pesa niliipata kwa shida sana nikaandaa banda nikaoder vifaranga 50 nikalipia ila huwez amini tangu mwenz wa nane hadi leo roho inaniuma sana ila najua haki ya mtu haipotei bali itachelewa hilo ni jasho langu nitapambana no matter what tahadhar kwa wengine msije mkapotea kama mimi
mmh!.,mkuu,kukiukwa kwa makubaliano ya aina yoyote waliyokubaliana wanachama wa jf "nje" ya jf hayamfanyi Invisible or jf officials wawe answerable kutoa maelezo whatsoever. tena usishangae huyo mleta mada akalimwa BAN kwa kum-name calling anaye mtuhumu.nimeongea ki-layman,tusubiri magwiji wa sheria waje.

Hivi unawezaje kucheka au kutoa kejeli kwa ishu kama hii??? Kama pesa hiyo inatumika kunywea bia usiku mmoja inamhusu nini mwenzio anayeitumia pesa hiyo kujikomboa kimaisha kutoka hali moja kwenda nyingine?? No wonder smart people are quitting JF!
kaka yaan ninauchungu nataman ata kumloga
Mnaangaika na wezi wadogowadogo wakati wezi wakubwa (CCM) mnawashangilia; mnanichefua mmimi.
habar wanandugu mimi ni muhanga wa kutapeliwa pesa na ndugu kitomari2 nilidunduliza kiasi cha laki na nusu kwenye kibubu nikiwa na nia ya kuanzisha mradi wa kuku hiyo pesa niliipata kwa shida sana nikaandaa banda nikaoder vifaranga 50 nikalipia ila huwez amini tangu mwenz wa nane hadi leo roho inaniuma sana ila najua haki ya mtu haipotei bali itachelewa hilo ni jasho langu nitapambana no matter what tahadhar kwa wengine msije mkapotea kama mimi
nakushauri tumloge tafuta mshumaa mwekundu,then ni pm,for further instructions,pesa yako atairudisha yote....hii ni faida na kwa wengine wenye shida kama hizo pm,kwa msaada zaidi
makubwa! Huduma yako ni bure ama na wewe utamtoza mshiko huyu mtapeliwa.