pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
habar wanandugu mimi ni muhanga wa kutapeliwa pesa na ndugu kitomari2 nilidunduliza kiasi cha laki na nusu kwenye kibubu nikiwa na nia ya kuanzisha mradi wa kuku hiyo pesa niliipata kwa shida sana nikaandaa banda nikaoder vifaranga 50 nikalipia ila huwez amini tangu mwenz wa nane hadi leo roho inaniuma sana ila najua haki ya mtu haipotei bali itachelewa hilo ni jasho langu nitapambana no matter what tahadhar kwa wengine msije mkapotea kama mimi
Tehe tehe
Invisible Hii ni mara ya tatu Huyu mtu anatapeli watu, Kuna namna ya kumdhibiti
katafute bunduki tuu kwa tapeli kifo ndio dawa yake..habar wanandugu mimi ni muhanga wa kutapeliwa pesa na ndugu kitomari2 nilidunduliza kiasi cha laki na nusu kwenye kibubu nikiwa na nia ya kuanzisha mradi wa kuku hiyo pesa niliipata kwa shida sana nikaandaa banda nikaoder vifaranga 50 nikalipia ila huwez amini tangu mwenz wa nane hadi leo roho inaniuma sana ila najua haki ya mtu haipotei bali itachelewa hilo ni jasho langu nitapambana no matter what tahadhar kwa wengine msije mkapotea kama mimi
Halafu jamaa kajiunga na ID nyingine yuko hapa anakupa pole.
pole ndugu.....matapeli ni wengi sana JF.......sio huyo tu.....kuwa makini.........
Msafara wa mamba na kenge wamo.
Ulimpaje pesa? Kama ulituma kwa Tigo pesa, M-Pesa jina lilikuja , weka jina hala na hiyo namba wana Intelijensia wakusaidie.