Kitoabu yupo wapi?

Masai wa Town

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
6,542
Reaction score
23,845
Nimemkumbuka mwamba mmoja na mwana JF mwenzetu, Kitoabu aliyetuburusisha kwa stori zake za Mikasa aliyokutananayo katika uchimbaji madini nchini Mozambique.

Yeyote Mwenye taarifa zake tafadhali atujuze kama au kama Ni yeye mwenyewe atujuze Kama Yupo na sisi. Ukimya wake wa muda mrefu Ni wasiwasi kwetu.

Karibuni
 
Kuna ile ya kipande cha kuzuia uchawi ..kikawa kinaua kila mchawi akiwa eneo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…