antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,019
- 133,249
Hawana utaratibu wa kuhakiki kabla ya kuonyeshwa?Sasa Dr. Mariposa, saa tatu usiku ya jana, hadi saa moja na dakika ishirini na nane asubuhi ya leo, kweli Mama Mdogo anaweza walau wizara, Baraza la Sanaa na TCRA kwamba hawajafanya lolote..!!?? Wangefanyia kazi muda gani..!!??
Kunakuwa na internal uhakiki...!!Hawana utaratibu wa kuhakiki kabla ya kuonyeshwa?
Hadi madhara yafanyike kwanza?!
Pointi ni kwamba hata serikali huwa hawafungii kila kitu,Sijui hata kama umeelewa mada inahusu nini,
Isome tena kwa utulivu
Vipindi vyote vya tivi tunavyoona na filamu zinazotoka za kitanzania huwa lazima zipate vibali vya bodi ya filamuKunakuwa na internal uhakiki...!!
Aagh wapi..!! Filamu inayofuata process ndefu YES, Lakini kipindi kupata kibali cha bodi ya filamu kweli..!! I doubtVipindi vyote vya tivi tunavyoona na filamu zinazotoka za kitanzania huwa lazima zipate vibali vya bodi ya filamu
Hapana, nimeuliza kwa sababu nilitaka kujua kama TV za bongo zinafuata maadili ya kutoonesha mambo yenye maudhui ya kikubwa muda ambao watoto wengi bado wapo macho.Kumbe upo bongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Binafsi naona kimepoteza mvuto, siangalii kabisa siku hiziWe acha tu kilichonikuta jana nilikua na Mama na dogo mmoja, nilinyanyuka nikaenda tu chumbani,
Na kuna ile scene askari wa kiume amemfunga pingu Pili halafu wanavutana vutana yaan askari wa kiume anamshika maungoni na kumpapasa juu mtuhumiwa wa kike ilikua kichefu chefu kuangalia, nikasema mbona wanadhalilisha jeshi la polisi? Sijakaa sawa ndio yule mshenzi anaomba ngono kwa mke wake na wengine kusema waingie ndani wamalizane!
Mnawezaje kuangalia TV mkiwa na watoto
ChaiHiki kipindi nilikua namashaka nacho tokea kitambo kidogo.... Kunawakati wife alikuwa akiipenda sana kitimtim na watoto nao nikaanza kuwasikia story za masantula sijui Huba,, nikasema ngoja niitafute siku nione na Mimi... mambo niliyoyaona ni aibu sana mbele ya familia. Palepale nikapiga mkwala mzito mama na watoto yaani wote walikuwa watoto kuwa Sitaki kuona ujinga huu wa Huba na kitimtim. Baadaye wakawa wanaangalia marudio nikiwa sipo. Nikaona isiwe shida nikang'oa DStv nikafunga dish la CANAL channel za ndani ni mwendo wa ZUKU..
HALF DICTATOR AND HALF DEMOCRAT