Van pierre
Member
- Mar 27, 2011
- 25
- 0
Nina rafiki yangu m1 mwislamu ngangari analalamika eti kuna nyumba ya marafiki zake wamemlisha nyama ya nguruwe mara 3 bila ya yeye kujua katika mazingira yale yale yanayofanana!!!!eti mara ya 1 alienda akakuta rosti la ukweli,yeye akadhani ni cow akaligonga,alipomaliza washkaji wakamtonya kuwa ishu ni mdudu!!!eti hali hiyo ilijirudia katika siku zingine mbili tofauti za usoni!!!wanajamii huyu jamaa ana haki ya kulalamika kweli!?inavyoonesha alinogewa na kujitupia kitu cha mdudu
Ahahahaaah!! Na pia inasemekana vitu vinavyokatazwa ndio watu wanapendelea zaidi!Seriously speaking na ukiachilia mbali makatazo ya dini - lile dude lina sura mbaya mno na linakula hovyo sana - halipendezi kulila.
Ahahahaaah!! Na pia inasemekana vitu vinavyokatazwa ndio watu wanapendelea zaidi!
ni kweli kabisa, kwa mfano:
Usizini
Usiue
Usiibe
Usitamani
Duh! kweli hii ni noma!
Seriously speaking na ukiachilia mbali makatazo ya dini - lile dude lina sura mbaya mno na linakula hovyo sana - halipendezi kulila.
Ahahahaaah!! Na pia inasemekana vitu vinavyokatazwa ndio watu wanapendelea zaidi!
Ahahahaaah!! Na pia inasemekana vitu vinavyokatazwa ndio watu wanapendelea zaidi!
ni kweli kabisa, kwa mfano:
Usizini
Usiue
Usiibe
Usitamani
Duh! kweli hii ni noma!
Si kweli, wanaopitia huo mzunguko ni primates, ambao hu-share family 1 na mwanadam.(mfano, sokwe) ambao kule congo ni nyama safi kuliwahivi ni kweli wanaJF lile dude huwa nalo linapitia mzunguko kama wanawake? kama ni kweli basi hapo ndo nilitia kinyaa zaidi:shock: