Kitimoto ndani ya biblia umeruhusiwa?

Kitimoto ndani ya biblia umeruhusiwa?

Haruhusiwi=Hairuhusiwi
Umeruhusiwa=ameruhusiwa
 
Kula kitimoto na kuwa na govi ni chukizo mbaya sana mbele ya Mwenyezi Mungu, naam na huu ndiyo ukweli mchungu wakristo wanzangu. Binafsi baada ya kusoma na kuyaelewa maandiko nilianza na ‘kulikata’ govi very soon nitaacha kabisa kula kitimoto na kumrudia Mwenyezi Mungu wangu!

Inaelekea huwa unapita juu juu tu kwenye biblia mkuu huzami ndichi . Zamani wakati nafatilia sana biblia kwa kutaka kuielewa nlikutana na hio mada ya kutahiriwa kwenye Agano LA kale kuwa ambao hawakufanyiwa tohara hawatauona ufalme wa Mungu kwakua nlikuwa bado kinda nkaamua nmuulize mdingi akacheka halafu akanifunulia biblia sikumbuki ni kitabu gani ila no Agano jipya nkagundua biblia kuielewa inahitaji kuzama deep sana sio juu juu tu
 
Back
Top Bottom