Wenye Dini Zao wapo wamoja na wana heshimu imani za wengine ! Sisi Waabudu Mizimu kama asili yetu tunajifanya wafia dini kuliko wenyenazoKuna Imani zingine za kipumbavu sana.
Yaani wakifunga TV zote kazi kutangaza funga yao, wataomba vyakula vipunguzwe bei, watu wasile kwa uhuru mchana.
Kitimoto haiuzwi chumbani mwako, haiuzwi uani mwako, haiuzwi kwenye ofisi za umma, haiuzwi kwenye maduka yenye bidhaa mchanganyiko.
Yet mnataka tuuziane chumbani kwetu
Hivi mna matatizo gani enyi wanafiki?
Mh we si shehe?Kitimoto tamu ndugu zangu
Kwanza unaonekana hujastaraabika!Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
acha upumbavu wako, kwani wakristo ndio waliokukata kikojolea chako?Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
Mimi naona hapo ni buchani, ulienda kufanya nini ? Acha waende wanaohusika ni kama kuona kanisa ukakasirika. Tuache wakatoliki waende wakale huyo mdudu mwenye utata maana mauzo yake hupungua mwezi mtukufu siju kwanini.Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
Mmmmhhh hii kali.... Mbuzi wa Vatican huyooo....Sema wote tunamkula huyu jamaa , aibu tu na UNAFIKI flani ila wote tunamgongaView attachment 2396511