kaburi jeusi
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 258
- 145
Jamani waumini wa JF naombeni ushauri niliacha kula NYAMA ya kiti moto kwa kipindi kisicho pungua miaka 16 lakini nnikarudia kula tena nna kama miezi 3 sasa kilicho tokea naona kama nayumba kiuchumi maduka 2 limebaki 1 nyumba 3 nimeuza 1 Trekta nimeuza juzi tu nilikua na ngombe 8 juzi 3 zimegongwa na gari na A/c yang haitamaniki kabsa na sasa kafika MTU Leo anahitaji nimuuzie kapajero kangu JR II ,binafsi namashaka na ulaji wa kitoweo hiki.nipeni ushauri waumini wenzangu.