Mbona kwenye Kesi Za mauwaji, watuhumiwa hukaa ndani Kwa miaka mingi, kabla ya hukumu. Na hujawatetea kwamba waachwe mpaka hapo hiyo huku my ikatendeka au Kesi kuanzia.Kama tuhuma zinatosha kumweka mtu jela bila ushaidi basi hakuna maana ya sheria na mahakama. Unafiki ni huu wa kusema mtu ameiba bila kuthibitisha wizi wake.
Vyeti tu, mrombo yuleAkili ya panya lumumba, kitilya ni mnyiramba
Anachakaza papuchi tu hukoAre you serious? Namuonea huruma sana Shose
Na hizo pesa ndo zile walikuwa wanampa agawe makanisaniKinachomkosti kitilya ni kuwa team lowasa kipindi kile
Haya sijui kwa nini Lissu hakuyaonaHii sheria ya uhujumu uchumi iangaliwe upya
Kwa maoni yangu ni sheria mbaya. Waendesha mashtaka wanaweza kutumia sheria hii kuweka oibgamizi la dhamana hivyo kuwaadhibu watu kwa kuwaweka ndani muda mrefu kuliko hata muda wa kifungo iwapo mtu atakiri au atapatikana na kosa husika. Kwa sheria hii ilivyo kama kesi itaendeshwa kwa miaka saba au kumi mshtakiwa atakaa mahabusu muda wote huo!
Ajabu ni pale atakapo patikana na hatia yawezekana akahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela! Na iwapo hatakutwa na kosa tayari mtu huyu anakua amesha adhibiwa kwa muda wote atakaokaa ndani
....kutafuta urais kwa pesa ya uwiziNa hicho ndio kiletacho shida,shida hapa ni Lowassa.
.....kweli ni waislaeli !polen wana kaskazini....
chukulieni kama ni pito, Mungu yu karibu kushusha ukombozi wake...
najaribu kuwaona kama wana waislaieli wakiwa utumwani...
Mmoja anadai lake lime expire !Wana afya nzur.sio kama wale wazee wa ipptl.maputo yatakua yanawatesa xana..
Alikuwa Miss Tanzania 1996Duh, Mdada mrembo sana huyu.
Hahahaa, wee jamaa mbona unaingiza politiki?Haya sijui kwa nini Lissu hakuyaona
Wanasema 'mwanasheria msomi'Hahahaa, wee jamaa mbona unaingiza politiki?
Tanzania buana, mtuhumiwa anakamatwa kwanza,upelelezi ndo unaanza akiwa jela... What if akija onekana hana kosa na mahakama kumwachia huru, will the Government pay the damage to rebuild their reputation???
So unajua tena watu wote hawajasoma isipokua wanasheria tuWanasema 'mwanasheria msomi'
Unafikiri zile mia mbili mia mbili za Lowassa akigawa makanisani zilitoka wapi !? Hata Sumaye zilimlalamisha sana, ajabu akaamua kwenda kuwa ADC wa Lowassa. Daah...ndo maana jamaa akasema kuna malofa huko !Alisema Gambo hata akitoka au kushinda kesho cha moto amekiona
Issue si haki za mtuhumiwa issue ni kuonyesha naomba gani unamadaraka n.a. unaouwezo wa kunyanyasa adui zako.
Waliokuwa na Madaraka ya kutoa matatizo ya serikali hawajaguswa mpaka sasa kuanzia Katibu wa wizards hadi waziri wa fedha
Sijasikia mhandisi msomi au mhasibu msomi !So unajua tena watu wote hawajasoma isipokua wanasheria tu
....kutafuta urais kwa pesa ya uwizi
...kazi ilishaisha ndio maana jamaa wapo ubaoni hapo !Mie sijui kama aliiba,kama una ushahidi nenda Takukuru.