Kitilya asota rumande miaka 2

Shida adabu yako.

Kikwete ndiye Rais pekee aliyefunga mawaziri kwa ufisadi ndiye Rais pekee aliyemtosa waziri mkuu kwa ufisadi. Na ndiye Mwenyekiti aliyeacha roadmap (ilani) inayofatwa sasa hivi.

Koma.
My elder sister you are right. Lowassa alitoswa akabaki ameduwaa, Mkapa akabakia na Sumaye mpaka mwisho wa dahari.

Mkapa ndio alimpa kiburi Sumaye akajiona ni presidential material wakati kiuwezo na kiakili hafiki hata robo ya Lowassa.
 
Mkuu nimeisoma substance katika andiko lako. Mkwere alikuwa anafanya jambo jema lakini muda huo huo kunakuwepo mazingira ya upigaji yanayotengenezwa.

Ile dola milioni moja point tatu ambayo hawa waliotuuzia ndege wametulipa kama faini ya kuvuka tarehe ya mkataba, ingekuwa enzi za Mkwere au mzee wa Masasi ingepigwa juu kwa juu.

Mkwere alikuwa so relaxed, inawezekana kwa sababu ni mtu wa mizani (libra) alipenda kuweka mizania sahihi kwenye maamuzi lakini kulikuwa na udhaifu katika tabia yake hiyo.

Atakumbukwa kwa mema mengi pia, mloganzila, mwendokasi na miradi mingine mingi tu,
 
M
Mataka tena rc bora wa simiyu
Mataka huyu alitokea bima taifa akaenda PPF. Mwisho akakwamia ATCL. Alisha fungwa na Sasa Yuko huru.

All in all JPM nampenda anavyoonyesha kwamba ukitenda ubadhirifu basi gereza lazima ulione. Lakini Kuna kitu wanasheria lazima wakiangalie hivi Kama ni tuhuma basi upelelezi uende umekamilika ili mahakama itoe hukumu na sio kutesa watu mahabusu wakisubiri upelelezi ukamilike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M
Mataka tena rc bora wa simiyu
Ndio maana wanaume wa Dar tunasakamwa, ati Mataka RC bora wa simiyu, are we not updated to such extent?? Ivi hukuwai kumsikia mataka wa ATCL na hata akapelekwa mahakamani kwa kuhujumu na maamuzi ya ivyo dhidi ya shirika la ATCL??

RC wa simiyu ni mtaka, ivi mtaka ana ubora gani jmn?? Au ni ule ubora kwa kujikomba kwa jiwe??

Jmn endeleeni kutupiga madongo tu ss wanaume wa DAR, si kwa umbumbu huu akseh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha wasote maana imeandikwa utaishi kwa jasho lako sio wizi.
 
kila rais alitafuta WA kumtingisha kipindi chake hivyo magufuli sio wa kwanza kumbuka

Mkapa alimtingisha nalaila kiula
JK mramba na yona
Jiwe ndio hao na kina seth
Huko kote inaonekana sio chuki au kisasi ila kwa jpm tu

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…