Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Tuvumilie tu. Yale marange na mavogue sijui yana hali gani huko kwenye mahekalu yao.Dah. ..haki ni ya Mwenye Enzi Mungu. ..
Hivi kwa nini wabongo wana roho mbaya sana kwa matajiri? Naona wengi mnafurahia kwamba vigogo wapo ndani bila kujali kama wana hatia au la.
We acha tu. ....hujafa hujaumbika..Tuvumilie tu. Yale marange na mavogue sijui yana hali gani huko kwenye mahekalu yao.
Dhamana ni haki ya msingi ya raia katika nchi za watu wenye upeo wa kujitungia katiba zinazowajali na kuwalinda wakati wa matatizo kama ya shutuma. Sio hapa Afrika
Hata mie nashangaa.Hivi kwa nini wabongo wana roho mbaya sana kwa matajiri? Naona wengi mnafurahia kwamba vigogo wapo ndani bila kujali kama wana hatia au la.
Kuchelewesha kesi sio sawa hasa mtuhumiwa akiwa ndani.... miezi sita upelelezi unaendelea, kulikuwa na sababu gani ya kuwawahisha kuwapeleka mahakamani kama upelelezi bado?.. kumbuka hamna anae jua ukweli kihalisi mpaka watakapo hukumiwa.... kuchelewesha upelelezi wakati wako ndani means wameisha hukumiwa.....Uchunguzi uharakishwe ili Iweje? Wao wasubirii jamhuri inaendelea na kazi yake ya uchunguzi kama kanuni zinavyotaka. Kwani hawa wanyonge wasio kuwa na wanasheria mbona wao husubiri uchunguzi ukamilike.
Wasubiri.
Hayo yote Sawa.... ila kuna haja gani ya kuwakimbizia mahakamani washitakiwa ukijua upelelezi haujakamilika? Miezi sita kweli una faili la watu mezani kwako unajua watu hawa wako mahabusu kwa sababu ya wewe kuto kamikishaDuniani kote, sio kila kosa lina dhamana kisheria.
Kuna baadhi ya makosa hayana dhamana kabisa, mtuhumiwa atakaa mahabusu mpaka pale hukumu ya kesi itaposomwa
Mfano kwa hapa Tanzania, makosa yafuatayo
HAYANA dhamana:
murder, drugs trafficking, human trafficking, Armed robbery, Money laundry, Treason, kukamatwa na nyara za serikali, etc.
N.B: Hata kwa makosa yenye dhamana kisheria (bailable offences), still kuna some circumstances Mahakama imeruhusiwa kisheria kunyima dhamana. Circumstances hizo ni kama vile:
-Seriousness of the offence;
-Safety of the offender, kwamba endapo mtuhumiwa akipewa dhamana inawezekana akauawa au akadhurika huko uraiani;
-Possibility for the offender to interfere with investigation;
-Past criminal record of the offender whereas s/he had ever jumped bail in another past criminal case.
-Kaveli-
Hayo yote Sawa.... ila kuna haja gani ya kuwakimbizia mahakamani washitakiwa ukijua upelelezi haujakamilika? Miezi sita kweli una faili la watu mezani kwako unajua watu hawa wako mahabusu kwa sababu ya wewe kuto kamikisha
upelelezi? Na unaenda kusali kweli? Yes kama makosa hayana dhamana basi kesi ianze...
waajiriwa wanakuwaje matajiri ? ,.................vigogo !Hivi kwa nini wabongo wana roho mbaya sana kwa matajiri? Naona wengi mnafurahia kwamba vigogo wapo ndani bila kujali kama wana hatia au la.
Aisee, kwahyo ulitaka wawaache kwanza? Daah mahaba yamewapofusha mnatetea hadi weziHata mie nashangaa.
Kwanza serikali inafunguaje mashtaka kwanza kisha eti ndio upelelezi unafuata na miezi sita haujakamilika?
Kuna neno hapo tutasikia tuu
Upelelezi ni kwenda tandale kukamata vibaka pale eeh?Hayo yote Sawa.... ila kuna haja gani ya kuwakimbizia mahakamani washitakiwa ukijua upelelezi haujakamilika? Miezi sita kweli una faili la watu mezani kwako unajua watu hawa wako mahabusu kwa sababu ya wewe kuto kamikisha
upelelezi? Na unaenda kusali kweli? Yes kama makosa hayana dhamana basi kesi ianze...