Kitila Mkumbo zaidi ya umjuavyo

Kitila Mkumbo zaidi ya umjuavyo

Ina maana bado Kitila Mkumbo ana ndoto za kuwa mbunge..? Maana sio kwa promo hizi aisee.. Sijui hii shida ya wasomi kukimbilia kwenye siasa itaisha lini..
Wewe mzee bado wewe kuwa mbunge!!
 
Zitto sio mwanasiasa mzuri kihivyo anauongo mwingi na huyo sijui Ado sijaona mchango wake kwa Taifa mpaka sasa. Sugu anaweza kuwa na matokeo chanya kisiasa kuliko Zitto. Siasa za kuongea uongo ukweli na kukosoa wakati hamna ulichofanya jimboni mwako ni zakitoto.
Z akiwa mwenyekiti PAC alihongwahongwa nakushindwa kusimamia mashirika ipasavyo hata kukosoa kitaalamu hakuweza ndiyo wakati tuliibiwa sana na hatukupata ma gawio.
Kitila ni MTU hodari ndio maana kashindwana na wanasiasa feki kaamua aungane na Ccm iliyobadilika sana (japo bado inamapungufu).
Hoja kuwa amezalisha wanasiasa hodari siyo ya kweli
 
Mkuu Freddie Matuja,
  1. kwanza asante kwa good analysis, please usiite Zitto ana tamaa kugombea urais hivyo kuwadhalilisha wagombea urais wote kuonekana ni watu wenye tamaa, wakati in reality watu wote wenye serious political ambition, they must aim high, the highest office, sky is the limit.
  2. So far kwenye siasa zetu, Zitto ndio the best candidate kumchallenge Magufuli na Magufuli akapata joto la uchaguzi. He just needs support and resources kama mgombea wa CCM, kaka mkubwa Pampeo akitoa, CCM ina kazi na kibarua kigumu.
  3. Ili Zitto aweze kuleta impact ni lazima awe mgombea wa muungano wa wapinzani kitu ambacho ni kigumu kwa Chadema.
  4. Hivyo Zitto atamshinikiza Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli kama mimi nilivyo shauri hapa Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli! - JamiiForums
  5. Halafu Zitto atasimama Kigoma mjini. Watu wa Kigoma ni watu wenye msimamo sio watu wa kkupelekwa kama mazuzu, hivyo Zitto akisimama yeye, hata CCM wadhikiri uch., hawawezi kumng'oa Zitto home base yake.
  6. Kura za kumfanya Zitto awe KUB ni already secured yale majimbo mawili ya Zanzibar na ngome ya CUF ya Pemba ambayo sasa itakuwa ACT, na kama kuna sehemu CCM ingehitaji Kumwaga fedha, ni Pemba ila very unfortunately wale jamaa sio mala.. kama hawa wenzetu wa huku, wao hawahongeki kirahisi.
  7. Tatizo la ubunge wa 2020 kwa huku bara, ni matatizo makuu mawili. La kwanza ni kwa CCM imeisha wanunua wabunge na madiwani kadhaa wa Chadema kwa ahadi ya kuwasimasha ile 2020 hivyo upinzani hauna able people wa kutosha kuichallenge CCM kama nilivyoeleza hapa, Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
  8. La pili kwa maoni yangu the NCCR & CUF factor ambao wote hawa wawili ni njaa kali, watakuwa compromised na watagoma kuunda a United Front against a common enemy, hivyo wata wage war kwa vita vya panzi kwa ku split kura za upinzani, huku kunguru amesimama pembeni!.
  9. Uchaguzi wa 2020 utakuwa ni mgumu sana kwa CCM kupiga bao la mkono kwa kuitumia NEC kwasababu kaka mkubwa Pampeo atawezesha wapinzani wa kweli kusimamisha mawakala wenye simu janja kila kituo.
  10. Uchaguzi utakuwa huru na wa haki kwa kura zote hadi urais kuhesabiwa kituoni na matokeo ya kila kituo kubandikwa kituoni na hivyo kila chama, kufanya scan ya matokeo kwa kutumia simu janja na kuruhusiwa kufanya independent tallying ila sio kutangaza matokeo, hivyo uchaguzi wa this time ni uchaguzi huru na wa haki, hakuna room ya kufanya janja janja.
Hitimisho.
Pamoja na yote haya bado CCM itashinda kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 91% hizo asilimia 8% ni zile za the Zanzibar factor ndio itatibua ule ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwa CCM kama kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
P
Mkuu Pascal ng'wanangwa ng'wichane yaani siku hizi umekuwa dhaifu hivi kwenye kufanya analysis? Hiyo namba 7 naomba uipitie upya? Yaani CHADEMA imeishiwa able candidates? Kweli? Kwani CCM imechukua mgombea gani ambaye alikuwa CHADEMA kindakindaki? Kwa taarifa yako CHADEMA imabaki na majembe yake na CCM imechukua magharasa yaliyokuja na upepo wa LOWASSA! I can bet for this! Ije mvua lije jua kama uchaguzi ni haki bin haki CHADEMA itachanua na majembe yapo mengi mno!
 
Ahaah! Misifa ya kishamba.
Nothing special, tuendelee kufanya kazi.
 
Pascal Mayalla ccm kushinda kwa asilimia 99 hiyo haiwezekani tena uchaguzi wa mwaka huu ccm itapata wakati mgumu sana kuliko miaka yote hasa ukizingatia kua wapinzani wakiwekeza kwenye kampeni na wakafika maeneo yote wananchi hasira itakua juu kuliko kawaida

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Eti Kitila ni zaidi ya umjuavyo! Nani anataka kumjua huyo pimbi?
Yaani hata waandishi wa habari hatuna! Kuna mtu hapa ananiambia huyo Ezekiel ni editor!
Generali Ulimwengu, Kamwaga Ezekiel, editor wenu ameandika pumba huko halafu tumeletewa huku. Ongea nae, akue.
 
Duh kumbe Zitto alipiga Banda NANE O-Level (A Nane), Maana yake ni kwamba alipiga One ya point Saba na banda moja la Ziada.
Basi nowonder huyu jamaa ni kichwa!

Hata Mnyika naye alipiga banda nyingi sana O-Level
 
Kaka Paskali,
Umekuwa na a lot of good analysis kumhusu ZZK.

Ila fahamu ZZK hana sense of maturity kama Ma-KUB waliopita akiwemo Rwakatare, Hamad Rashid na Mbowe kwa sasa.

ZZK huwa anakurupuka na kuweka kwa public vitu ambavyo hata wakati mwingine hajafanya thorough findings na ku-verify na source yake, yeye anakurupukaga tu.

Jana kaja na taarifa ya Prof. Janabi kuondolewa JKCI, baada ya kusababisha panic, haikumchukua muda akakanusha pasi kuomba radhi kwa usumbufu aliosababisha.

Jana haikuwa mara ya kwanza, ZZK kuwahadaa Watanzania. Sasa ndugu yangu Paskali, wewe wajua vyema kiongozi hatakiwa kuwa chanzo cha kupanikisha watu na kusababisha taharuki, huyu ataweza kweli kusimama kwa maslahi ya Watanzania kwanza kabla ya maslahi yake.
Ni kweli Zitto ana tatizo la kukurupuka.
Niliwahi kulizungumzia humu

Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya... - JamiiForums

Madhaifu yake yote yanarekebishika, what he needs is guidance and support both moral and capacity building and logistical support to take the bull by it's horns, hivyo Zitto is the best
P
 
Yani wewe uliyopost hii Thread ni Kitila Mkumbo mwenyewe unataka kumpagawisha Mwigulu tu.
 
Eti Kitila ni zaidi ya umjuavyo! Nani anataka kumjua huyo pimbi?
Yaani hata waandishi wa habari hatuna! Kuna mtu hapa ananiambia huyo Ezekiel ni editor!
Generali Ulimwengu, Kamwaga Ezekiel, editor wenu ameandika pumba huko halafu tumeletewa huku. Ongea nae, akue.
Mkuu shambulia hoja
Usimshambulie mleta hoja
 
Mkuu Pascal Mayalla Nakubaliana na muono wako lakini si kwa Zitto kugombea urais
kwavyovyote vile Zitto anazijua vizuri sana siasa za nchi hii na nguvu ya CCM kwenye uchaguzi wa urais

Akili ya zito ni uKUB, haihitaji tochi kuliona hilo
Kwanza anauhakika jimboni kwakwe
Pili anauhakika wa wabunge wa kutosha toka Zanzibar
Tatu CDM inawakati mgumu mmno bara kurudisha wabunge wake kwa aina ya siasa za ununuzi wa wagombea ya CCM

Back
Top Bottom