Kitila Mkumbo: Ndalichako amekosea

Prof. Mkumbo umesema na yangu. Lengo la prof Ndalichako si baya. Utaratibu wa maamuzi si mzuri kwa kweli. Lkn walivyokuwa wameshusha viwango vya ufaulu ilikuwa inaboa sana. Mtu ana D mbili amefaulu?
Sasa siasa basi kwenye elimu, weleji ujidhihirishe.
 
prof unasema bunge lishirikishwe bunge lenyewe limejaa wakina nape unazani watashauri nini.Mtu kama maji marefu what do you expect in bunge
 

Baraza la mtihali la Taifa limeshindwa kutoa sababu ya msingi ya kubadili mfumo wa Division kwenda GPA kwa kuwa hapakuwa na tafiti hivyo alichofanya Waziri ni kurudia mfumo wa zamani hadi hapo tafiti zitakapomwongoza abadili; Kwa mtindo wa zamani ufaulu ni A, B, C, D na F, hakuna E.
 
prof unasema bunge lishirikishwe bunge lenyewe limejaa wakina nape unazani watashauri nini.Mtu kama maji marefu what do you expect in bunge

dU... LE PROFESER....., KWELI KUSOMA SANA SIO KUELIMIKA,,
 
Mleta Uzi unaandika sana lakini hujui serikali ya ccm huwa inakurupuka, mjadala mitaala ulipelekwa bungeni na mh. J. Mbatia . ccm wakaukataa , sijui wewe unataka mjadala UPI?? Na wapi? Na Hutu kitila mzusji mbona hakumuunga mkono mbatia wakati ule??
 

Kindergateni One,

nakuunga mkono hapakuwepo sababu za msingi wakati walipobadili kutoka divisions kuja GPA mbali na kuwaongopea wadanganyika kwamba kiwango cha elimu kimepanda. Hizi mbwembwe pia zimeendelea kuonekana wanapotaja neno Big Reuslts Now (Matokeo Makubwa Sasa). Hivi ni kichaa gani anayewaza kuwa na mabadiliko makubwa bila kufanya chochote bali maneno? How do you expect changes without intervention? Hiyo ni miujiza ya Tanazania.

Hii naifananisha wimbo wa uitwao 'kisa cha mpemba' ambako mzee wa watu alishangaa na kushutuka ni wapi maini yametoka wakati kaacha pesa kidogo. Hivi kwa nini sisi hatushutuki?

GPA kama GPA haina tatizo lolote bali ni swala la kuipandisha tu. Unaweza kuitafsiri GPA kama ifutavyo 1.1-2 (21-40% ), 2.1- 3(41-60% ), 3.1-4 (61-80%), na 4.1-5 (81- 100). Hivyo unaweza kusema waliofaulu waanze na GPA ya 1.5 badala ya kuishusha ikawa 1 au chini yake.

Kwa mantiki hiyo unaweza kuona kwamba GPA kama GPA haina tatizo sawa na unavyoweza kusema division iv ianzie na point 40..
 
Nadhan Prof. Kitila is too good to support the argument. Bora waziri karudisha ule utaratibu wetu from now on acha research ziendelee. Pale Udsm kuna research zilizotumiwa kuwapa watu ma-merit zao lakini ukija kwenye ulimwengu wa kazi , what is research finding? Waziri hongera kama tuna maswali tutauliza simamia vizuri hzi division.
 
Hawapandishi kama mafungu ya nyanya wwe
 
 

Kwa hili la kuturudisha kwenye DIVISION kutoka kwenye GPA,wadau tuna muunga mkono Mh. Waziri wa elimu, kwani mfumo huu Watanzania wote tuliuzoea,ila walikuja watu wachache wavivu walio na madaraka wakataka kuwayumbisha Watanzania.Nakumbuka hata Mh. Spika wa bunge la Tanzania wakati huo aliupinga mswada huo wa kubadilisha utaratibu wa ufaulu kutoka DISION kwenda GPA.

Asanteni.
 
Gpa inaleta matokeo fake mengi sana.bora karudisha dvn. Japo elimu yetu imekua kama kata upepo la Singida,upepo unapoelekea ndyo huko huko.kila waziri anabadilisha atakavyo.
 
alialichokifanya Pr. Ndalichako ni sahihi kabisa mfumo wa division ulikuwa umezoeleka na ulikuwa hauna mkanganyiko, hizi za GPA zimeleta mkanganyiko sio kwa wanafunzi tu hadi wazazi
 
alialichokifanya Pr. Ndalichako ni sahihi kabisa mfumo wa division ulikuwa umezoeleka na ulikuwa hauna mkanganyiko, hizi za GPA zimeleta mkanganyiko sio kwa wanafunzi tu hadi wazazi
Ni right kabisa mkuu! But we don't have consistance! Utasikia akitoka Ndalichako atakuja mwingine na interest zake atazirufisha tena GPA.
 
Ahsante mama ndali, Kufuta uchafu na kurudisha usafi haihitaji mjadala wa kitaifa,sasa kama tunahitaji kurekebisha tuanzie hapa pasafi...kuna watu Ni wachafuzi na wametuchafulia sana,kuwa profesa isiwetabu na kusiwafanye kutuletea mabadiliko ya kipuuz yanayotutia gharama bila ya tija.
Swala la kushirikisha wadau Ni jema lakini hatuwezi kukaa mahali pachafu kujadili kuboresha haliyetu.
Wadau si muhimu wawe wabunge,hata walimu wa ngazi tofauti wanatosha kutupa mwongozo,hawa wabunge wa Leo hawana chamno sana maneno maneno yakushawishi kura tu. Wameshindwa hata kuboresha sheria ya manunuzi miaka sasa taifa linapata hasara.
Tukuombe wazir ndali tujengee elimu bora na shirikishi yenye tija isiyo na mbwembwe binafsi kama zamaprof wenzako kina Kapua,Mazembe,kawambwa na yule bingwa wa kuchemsha aliyefuta hata somo la agricultural science
 

!
!
Kamati ya bunge yenye hawa hawa akina kibajaji, profesa maji marefu? Bora aamue tu profesa
 
Mkumbo sio kosa lake. Kufundisha chuo kikuu mda mrefu kumemfanya aathiriwe na mfumo wa GPA. Prof Ndalichako yuko correct 100%...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…