Kitila Mkumbo arithiwa na Albert Msando ACT Wazalendo

Kitila Mkumbo arithiwa na Albert Msando ACT Wazalendo

Naona Zitto ametweet kuwa kuanzia sasa mshauri wa chama cha ACT atakayemrithi Kitila Mkumbo ni ndugu mwanasheria Albert Msando.

Kwa uelewa wangu huyu alikuwa ni diwani na mwanasheria wa Chadema.
Je ameshahama au la ?

Nini maoni yako ...?
Mbona uko nyuma sana. Huyo tangu Zitto anapambana mahakamani na CHADEMA kuvuliwa ubunge na kufukuzwa uanachama yeye ndo alikuwa mwanasheria wa Zitto. Na alipohamia ACT jamaa naye akahama naye na ndie mwanasheria wa ACT i bet
 
Naona Zitto ametweet kuwa kuanzia sasa mshauri wa chama cha ACT atakayemrithi Kitila Mkumbo ni ndugu mwanasheria Albert Msando.

Kwa uelewa wangu huyu alikuwa ni diwani na mwanasheria wa Chadema.
Je ameshahama au la ?

Nini maoni yako ...?
Mbona uko nyuma sana. Huyo tangu Zitto anapambana mahakamani na CHADEMA kuvuliwa ubunge na kufukuzwa uanachama yeye ndo alikuwa mwanasheria wa Zitto. Na alipohamia ACT jamaa naye akahama naye na ndie mwanasheria wa ACT i bet tangu imeanza
 
Back
Top Bottom