Usiishi kwa mazoea, huu ni utawala mwingine.Na hapo fedha inayoweza kutoka ni 20% tu. Sasa sijui kuna haja gani ya kuwa na bajeti kubwa ambayo haitekelezeki. Nafikiri wabunge wanatakiwa pia wasimamie ili hizo fedha za bajeti ziwe zinatoka.
Usiishi kwa mazoea, huu ni utawala mwingine.Na hapo fedha inayoweza kutoka ni 20% tu. Sasa sijui kuna haja gani ya kuwa na bajeti kubwa ambayo haitekelezeki. Nafikiri wabunge wanatakiwa pia wasimamie ili hizo fedha za bajeti ziwe zinatoka.
ni changamoto labda anapata taarifa kutoka kwa watendaji, maana ukiangalia changamoto nyingi za wizara ni Budget kutokutosha kama wadau walivyosema hapo juu hata hii wizara. Kwa maelezo yake Vitu vyote vikibaki Constant na Budget ikawepo inawezekana. Lakini changamoto ya Maji nadhani kiuhalisia ni kubwa sana kuliko hata budget tunazowekewa na haichukui mwaka mmoja kutatuliwa. Ndio maana katibu kama mtaalamu anatakiwa kutoa analysis zake kisomi tuache pia kupeana matumaini kisiasa, maana hayo atasema Waziri ambae ni mwanasiasa zaidi...Ndiyo maana kila siku huwa nasema humu kuwa kuna Watu wanajiita ' Maprofesa ' huku wengine wakiwa na wana PhD zao lakini sidhani kama kweli ziliwastahili na pengine hawa hawa ndiyo wanatukatisha ' tamaa ' hata sisi wengine kuendelea kusoma ili tufikie hizo ngazi zao kubwa za Kitaaluma.
Technically tu hadi Mtu kuja kuijua Ofisi na hasa kujua ' Utendaji ' wake inaweza kumchuku kati ya miezi sita hadi tisa na ikiwezekana hata mwaka sasa cha kushangaza zaidi huyu Professor hana hata miezi mitatu Ofisini leo ' anaibuka ' tu na ' kukurupuka ' kusema ' Bajeti ' ya Wizara yake ya Maji inatosha.
Tuache Sifa za ' Kijinga ' na kuwa na ' Viherehere ' na ukweli ni kwamba Professor Kitila Mkumbo bado hajaijua vilivyo hiyo Wizara ila kama angeitoa kauli hii katika Bunge la Bajeti la mwakani ningeweza kukubaliana nae. Eti huyu nae ndiyo mmoja wa Wasomi ambao Tanzania tunaweza ' Kujivunia ' nao. Shabaaaaaash!
Asante sana..![]()
-amesema endapo pesa zote Bil672 zinatosha kutekeleza mipango yote ya mwaka huu.
-Amesema pamoja na kujitosheleza kwa miladi hiyo, bado wizara hiyo imepata mkopo wa Dola 500 Mil kutoka Exim Bank India, ambayo itatolewa kwa muda wa miezi 30 itakayosaidia miradi katika miji 16 Tanzania bara na mmoja Zanzibar.
-Wakipata fedha hizo zitasiaidia zaidi katika kutekeleza miradi yao.
Maelezo zaidi:http://www.mwananchi.co.tz/habari/K...-mwaka-huu/1597578-3927304-yypslwz/index.html
Ukitaka kuipima hii Wizara ya Maji fanya analysis hii ndogo..
Bajeti ya 2016/17 ilikuwa Tsh 900+Bil zilizotolewa ni around 192 Bil Tu.
Maana yake miradi mingi haikutekelezwa kwenye mwaka wa fedha unaoisha kwasababu Hazina ilitoa fedha kidogo sana.
Haya sasa Bajeti hii ya 2017/18 ni Tsh 600+ Bil, sijui zitatoka ngapi.
Ukumbuke kuna viporo kibao huko nyuma.
Halafu Mnafiki anakwambia hela Zinatosha.
Sio Kila kitu ni kujipendekeza Mkuu! Shida ya nchi hii sio hizo figure za kibajeti bali ni kuipata hio figure ili utekeleze mipango ya maendeleo. Kuna idara zilipata less dhan 20% ya zilichoomba katika bajeti inayoisha.Huyu naye anajipendekeza. Alipokuwa nje ya system alikuwa anapost post kwenye mitandao. Leo vipi tena?
Kitila kaishapata ugali wake na kasema hajiusishi na siasa tena. Hivyo mkuu kifupi Kitila sifikiri kama ni ACT active member hivyo hana haja ya kumsikiliza Zitto.Anapingana na kiongozi wake Zitto maana alisema bunge itake serikali kupanga upya bajeti maana haikidhi mahitaji
Kwani huwa zinatoka zote?Inawezekana kweli inatosha endapo itatumiwa kwa nidhamu ya hali ya juu pasipo na ufujaji...
Mchawi mpe mwanao akuleleeHuyu naye anajipendekeza. Alipokuwa nje ya system alikuwa anapost post kwenye mitandao. Leo vipi tena?
Na hapo fedha inayoweza kutoka ni 20% tu. Sasa sijui kuna haja gani ya kuwa na bajeti kubwa ambayo haitekelezeki. Nafikiri wabunge wanatakiwa pia wasimamie ili hizo fedha za bajeti ziwe zinatoka.
Unahitaji kuwa ndani ya Wizara kujua kwamba bajeti hiyo kwa matatizo ya maji ya nchi hii, haitoshi haka kutatua robo ya tatizo lilopo? au ndiyo mambo ya maisha bila unafiki hayaendi?Yeye kwa sasa ndo Katibu Mkuu wa Wizara husika. Kwa hiyo anajua undani wa anachokisema. Ukiwa nje wakati mwingine unasema kwa sababu unakuwa hujui undani wa jambo.
Mojawapo wa vyanzo vya mapato tulivyoongeza ni rambirambi na faini za trafiki! Likitokea janga tu mkichanga rambirambi sisi tunajengea miundombinu ya serikali na trafiki tumewapangia walete laki tano kwa siku kama faini ya usalama barabarani!Serikali inachotakiwa ni kuongeza vyanzo vya mapato ili iwe na fedha za kutosha iweze kuboresha huduma za muhimu kama maji,umeme,afya na elimu kinyume cha hapo kila mwaka itakuwa ni kupiga kelele kuwa bajeti haitoshi.