mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,761
Inatosha bhana, wasije wakatuongezea bei ya mafuta.Bajeti inatosha?
Huyu naye anajipendekeza. Alipokuwa nje ya system alikuwa anapost post kwenye mitandao. Leo vipi tena?
Unafikiria hapa ni usa njoo kwenu uone shida za watanzania mkimbizi weweInawezekana kweli inatosha endapo itatumiwa kwa nidhamu ya hali ya juu pasipo na ufujaji...
Sasa hivi kiongozi wake si Zitto tena bali Rais Jpm.Anapingana na kiongozi wake Zitto maana alisema bunge itake serikali kupanga upya bajeti maana haikidhi mahitaji