Kiti kinaweweseka: Hoja zote binafsi sasa kujadiliwa Bunge lijalo

Mi nilimtumia sms Ndugai akajibu eti sawa kaka mimi nakupenda, sijui aliambiwa na nani kwamba mi ni kaka na kama ni kaka ananipendaje sasa! Au kilikuwa kiwewe cha mafuriko ya sms?
 
Sasa anatangaza ndani ya Uchaguzi wa CMM! Siku hizi Vikao vya CCM ndio Bunge la JMT?
 
Politics ya CCM imeshakuwa polifix,uzuri wananchi wamegundua namna serikali isivyo makini kusimamia huduma muhimu za jamii.Dar kunakatisha tamaa ya maisha panapokuwa na uhaba wa maji.Ni vema viongozi wa serikali wajue,watanzania wakitekelezewa matakwa yao hawana neno baya na mtu.
 
Bora uwe na upofu wa macho lakini sio upofu wa akili kama huyu mama makinda...Mbona ni rahisi sana kusema ukweli kuliko uongo huyu mwanamke dhaifu anashindwa nini kusema kile ambacho watanzania kama taifa waliona bila chenga kuwa yeye ndio alionesha utovu wa nidhamu akishirikiana na mwanaharamu mwenzie Ndugai...na kwamba huyu Lisu alionekana na kila mtanzania kuwa ni mtetezi na mweledi wa kanuni,sheria na taratibu za bunge ambazo spika na naibu walionekana kutozifahamu na kulazimisha ushabiki wa chama chao kinachoua ustawi wa taifa hili..shame on you mama sura mbaya na mzee ndugai kichwa baya nyie
....................Wana jamvi,huyu mama anaakili hafanyi vile kwa bahati mbaya,anashinikizwa na waliomweka,sio kosa lake ingawa anastahili kubeba lawama lkn hana jinsi,hatumii akili yake kufikiria na kufanya maamuzi ndo maana anayumba sana....
 
Back
Top Bottom