INAUZWA Kiti cha chuma (Chekecheke) kina hitajika

MALISA92

Senior Member
Aug 29, 2013
148
56
Habarini waheshimiwa? Nina uhitaji wa kiti cha chuma cha cheke cheke au kwa jina lingine ni CUSTOMER WAITING CHAIR.. Kwa ambaye anacho cha used au kipya tuwasiliane kwa number 0753121404 (Whatsapp) au 0658 020361.
Najua kiti hichi kinapatikana Town kwenye maduka mbali mbali ila nina budget ya kiti used kwahyo ukiwa unacho tu nyumbani baada ya kuvunja ofisi nichek tukichukue.

kiti.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom