JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
WANANCHI Wilayani Kiteto mkoani Manyara, wameitahadharisha kamati kuu ya CCM Taifa, inayofanya utafiti juu ya Jimbo hilo kutodanganywa kuwa aliyetangazwa kura za maoni hana ubavu kupambana na UKAWA
Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye vikao mbalimbali vya vyama, wamesema hawajakoa kumchagua kiongozi aliyetangazwa kupeperusha bendera ya CCM.
"Anayesema Emmanuel Papian hawezi kushinda uchaguzi ujao ni adui wa demokrasia tena sio mzalendo mwenye kuitakia kiteto mema"alisema mmoja wa wananchi wilayani humo.
Alisema mpinzani wa Papian ambaye ni mshindi kura za maoni CCM ni mbunge aliyemaliza muda wake Benedict Ole Nangoro amedaiwa kutoridhika na matokeo hayo na kukata rufaa.