singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Tunawapaongeza ACT kwa uchaguzi huru na haki ulifanyika hapo jana viongozi mlichaguliwa msikate tamaa kwa kebehi kutoka kwa wabakaji wa demokrasia wasiojua kukubaliana na kutokubaliana kiungwana.
Pili nawasisi muanze kampeni ya kuzunguuka nchi nzima kutangaza ACT kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha nina hakika mtatoa somo kubwa october mwaka huu.
Mwisho kwa niaba ya wanakiteto tunawaomba mje haraka mkoani manyara haswa wilaya ya kiteto kuna mamia ya vijana wanawake na wazee wanataka KUVUA GWANDA NA KUZAA UZALENDO.