Kwa kweli hapo sijaelewa , ila nadhani ww sio mgeni na hii serikali ya hiki chama...
Inasikitisha sana kwa kwel, yaani disaster preparedness ni zero kabisa. Ila preparedness ya mambo mengine tupo vizuri kweli , kiasi cha kufanya maonyesho barabarani na kusema ni kawaida. Badala ya kufanya maonyesha ya disaster preparedness.