Kitengo chetu cha maafa kilikuwa hewa?

ukichoka sana uwezo wakufikiri unapungua,yaani sisimizi unamuona tembo,kuna wakati mtu anazungumza na wewe husikii hata jambo moja zaidi yakuona midomo yake ikichezacheza..!!UKUTA,Ukata,Tetemeko wanachanganyikiwa kabisa
 
ukichoka sana uwezo wakufikiri unapungua,yaani sisimizi unamuona tembo,kuna wakati mtu anazungumza na wewe husikii hata jambo moja zaidi yakuona midomo yake ikichezacheza..!!UKUTA,Ukata,Tetemeko wanachanganyikiwa kabisa
Ongezea na mdodoro wa kiuchumi huku kila kitu kikiwa hewa
 
serikali imefeli kwenye mambo mengi sana, jambo pekee ililofaulu ni kuendesha kila kitu kisiasa.


Kipimo kidogo kabisa kinachoonesha jinsi tulivyo, rejea lile tukio la yule mtoto aliyezama kwenye dimbwi karibu na Mlimani City, unakumbuka wale waokoaji walitumia kijiti kukoroga maji wakati mtambo wanao pale, wakanusurika kupigwa, raia mmoja akajitosa akazama akaenda kuipata maiti wao wameduwaa,

Raia mmoja ambaye hajapelekwa mafunzoni alifanya kazi kubwa, kuliko timu ya waokoaji waliosomea kazi ya uokoaji wakiwa na machine ya kazi, "are we serious!!!"

Kwa mfano mdogo huo jiulize fedha wanazotengewa zinatumika wapi
 
Halafu kama kweli hao ni wataalam waliohitimu bila figisu
 

Yaani kwa mfano huu AIBU nimeona mimi, sio akili ndogo ya waokoaji hawa wanaojivika joho la utaalamu.
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hivi ni wangapi wanajua tuna hiki kitengo Tanzania?

Huna haja ya kuwa na hofu Mshana Jr,
"HII SERIKALI NI TAJIRI" Dkt Magufuli.
 
Tathimini ya wahanga wa tetemeko inafanywa kisiasa hayo no malalamiko toka eneo la tukio kupitia gazeti la HABARI LEO
 
Wameshajisalimisha kwa wananchi wameomba tuwachangie waoni wageni bado hicho kitengo hewa hawajakikuta
 
Wao watakuja wanakwambia uchumi wa nchi unakua kwa kasi Africa mashariki na kati kwa 50%
 
Nafikiri kipo! Tena kinaongozwa na mpare mwenzako.
 
Ebu niwekeni wazi kidogo ivi hilo jimbo linaongozwa na mbunge alietoka chama gani na jina lake nianzie hapo kwanza niendelee kutafakuli maana naona nyota nyota na serikali yetu tule na kuweka akiba ya maafa.
 
Ebu niwekeni wazi kidogo ivi hilo jimbo linaongozwa na mbunge alietoka chama gani na jina lake nianzie hapo kwanza niendelee kutafakuli maana naona nyota nyota na serikali yetu tule na kuweka akiba ya maafa.
Kumbuka dhana ya kutosaini makaratasi ya mtu anayekataa mkono wako
 
Ni nchi maarufu sana kwenye "paperwork", utendaji ni minus kabisa.
hii kamati ni sehemu ya kitengo cha maafa Tanzania? Au ni kitu kipya kilichoundwa kwa ajili ya tukio husika? Itakuwa ni kamati ya muda gani? Ikipatikana pesa na vitu vya ziada vitapelekwa wapi?[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Kuna kipindi Kenya mapolisi walikuwa wanapambana na majambazi walipozidiwa na kuomba backup kutoka kwa wenzao, hawakupata msaada mpaka polisi wote wakauwa......

Huku bongo maafa yanatokea wananchi wanahitaji backup mpaka jamaa waanze kujipanga kila kitu kimeshaharibika......

Mfano rahisi ni hawa jamaa wa Fire....

Mpaka kila kitu kinateketea wakifika wanakuambia tumekuja kuona ukubwa wa wa moto ili tuende tukajipange tuje na maji kiasi gani....

Nadhani hii hulka labda ipo mpaka kwenye vikosi vya majanga...

Tisubiri tuone kama tetemeko litarudi tena ili tukija tuwe tipo kamili.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…