[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hivi ni wangapi wanajua tuna hiki kitengo Tanzania?
Duu mikeka mabati na masufuria thamani yake milioni mia moja waliamini hakuna majanga yatakayotokea tena (hii ilikuwa 2014)na pengine waliamua kufanya hivyo baada ya wakubwa wao kugawana mafungu manono ikiwemo magari pengineHiki kitengo kipo ila walikuwa wamezidisha kupiga pesa. Mkuu mpaka sasa kuna watu wa Kitengo cha Maafa wako mung'anda kwa kuiba masufuria ya wahanga.
WATUMISHI OFISI YA WAZIRI MKUU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA WIZI WA SUFURIA NA MIKEKA - ZOTE KALI BLOG
HIKI KITENGO KIKO KIUPIGAJI....MAAFA MENGI YALIYOKUWA YANATOKEA ILIKUWA HAIFANYI LOLOTE.....PITIA HISTORIA TU MAAFA MENGI YALIYOKUWA YAKITOKEA MPAKA LEO HAKUNA WAKICHOFANYIWAAAA...MFANO WALE WA MAFURIKO KILOSA MPAKA LEO NI WANAISHI VIBANDANI AHADI ZILE WALIZOPEWA KIMYAA MPAKA LEO[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hivi ni wangapi wanajua tuna hiki kitengo Tanzania?
Mkuu nimehoji sana kwenye uzi ulioletwa na Lizabon lakini sikupewa majibu. Kitengo kipo na kila mkoa nadhani kina ofisi kama nilivyosoma kozi fulani "disaster management and. ......." sasa sijui kwa hili imekuaje.
Nimeenda mbali nikahoji upande wa vyombo vyetu vya usalama vile pendwa "JKT na JWTZ", Maana baadhi ya taarifa kuna mama mmoja niliona analalamika kuhusu usalama wao dhidi ya vibaka pia nikasema Kwanini vyombo hivi visingetusaidia kuwajengea vibanda vya muda ili wajihifadhi?
Hasira.
Mkuu kesi hii imefunguliwa mwaka huu. Kama unakumbuka kuna yale majanga ya mafuriko Dar mwaka 2014. Jamaa walilamba hivyo vifaa na manusura waliambulia patupu!Duu mikeka mabati na masufuria thamani yake milioni mia moja waliamini hakuna majanga yatakayotokea tena (hii ilikuwa 2014)na pengine waliamua kufanya hivyo baada ya wakubwa wao kugawana mafungu manono ikiwemo magari pengine
Nina uhakika hii kesi haipo tena lakini kwa mwendo huu inaweza kufufuka
Masikio yao yametiwa nta halafu wamevaa miwani ya mbao inawezekana kabisa kuna sensitive organ (chama cha siasa? ) inahusika na kifo cha hiki kitengo!Mkuu nimehoji sana kwenye uzi ulioletwa na Lizabon lakini sikupewa majibu. Kitengo kipo na kila mkoa nadhani kina ofisi kama nilivyosoma kozi fulani "disaster management and. ......." sasa sijui kwa hili imekuaje.
Nimeenda mbali nikahoji upande wa vyombo vyetu vya usalama vile pendwa "JKT na JWTZ", Maana baadhi ya taarifa kuna mama mmoja niliona analalamika kuhusu usalama wao dhidi ya vibaka pia nikasema Kwanini vyombo hivi visingetusaidia kuwajengea vibanda vya muda ili wajihifadhi?
Hasira.
Masikio yao yametiwa nta halafu wamevaa miwani ya mbao inawezekana kabisa kuna sensitive organ (chama cha siasa? ) inahusika na kifo cha hiki kitengo!
Kama kweli kimekufa huu unaweza kuwa upuuzi wa kiwango cha lami, upuuzi wa karne
Kuna hiyo link hapo juu ikielezea watendaji wake kugawana mali za kitengo cha maafa mwaka 2014! Kwanini waliamua kugawana mali? Jibu ni moja tu kilikuwa kinazikwa rasmi...sasa hawa waligawana vitu vipi kuhusu akaunti za benki? Vipi kuhusu magari majengo nk ?
Nimeanza kuhisi vibaya na Mwenyezi Mungu aniepushe kuwaza haya.Masikio yao yametiwa nta halafu wamevaa miwani ya mbao inawezekana kabisa kuna sensitive organ (chama cha siasa? ) inahusika na kifo cha hiki kitengo!
Kama kweli kimekufa huu unaweza kuwa upuuzi wa kiwango cha lami, upuuzi wa karne
Kuna hiyo link hapo juu ikielezea watendaji wake kugawana mali za kitengo cha maafa mwaka 2014! Kwanini waliamua kugawana mali? Jibu ni moja tu kilikuwa kinazikwa rasmi...sasa hawa waligawana vitu vipi kuhusu akaunti za benki? Vipi kuhusu magari majengo nk ?
WATU KAMA HAO HAWAFAI KUISHII DUNIANINasikia mwaka huu wametiwa nguvuni ila wako nje kwa dhamana
Mmh kweli kabisa! Siasa zimehusishwa hapa....najaribu kulinganisha dhana ya kunyimwa mkono na dhana ya kunyimwa kura[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]na matamshi ya visasiNimeanza kuhisi vibaya na Mwenyezi Mungu aniepushe kuwaza haya.
Lile jimbo linaongozwa na chama gani? Naanza kuelewa maana ya mafiga matatu.
Ngoja nisiende huko, naamini watatusikia ili kitengo kirudi maana nilichokisikia kutoka kwa WM ni kuwa kuna kitengo cha tathimini, ngoja kifanye tathimini alafu tuone impact yake kwa wahusika.