Umeonyesha umbumbumbu wa hali ya juu mno....Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.
Cha kwanza ni kipa bora wa msimu
Na ya pili ni klabu bora ya msimu.
Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi ya mtani wake wao wamekomaa na ishu hiyo hiyo moja na wakati mechi imeisha na hata ukisema uizungumzie mwezi mzima hakuna manufaa yeyote yale.
Baada ya ile mechi, nguvu kubwa ilipaswa ku focus kwenye tuzo za CAF kwa kuhamisisha watu mitandaoni na kwenye vyombo vya habari ikiwemo redio, tv na magezeti kuwaelekeza namna ya kupiga kura ili kujiongezea nafasi zinazowaniwa.
Timu ya Simba inapofikia maswala ya kupiga kura, utaona wanahamasishana kwenye kurasa rasmi za klabu, magroup mbalimbali na hata humu hufungua nyuzi juu ya kuwahamasisha mashabiki wao.
Lakini upande wa Yanga wameonesha kushindwa kumudu hilo jambo, sio afisa habari wala digital manager wote wapo wapo na mambo ya upuuzi uliopita na mechi iliyopita.
Mpaka sasa Diarra hayupo kwenye kinyang'anyiro cha tuzo hizo.
Naunga mkono hoja 👍👏
Na ukajiona bonge la GT?Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.
Cha kwanza ni kipa bora wa msimu
Na ya pili ni klabu bora ya msimu.
Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi ya mtani wake wao wamekomaa na ishu hiyo hiyo moja na wakati mechi imeisha na hata ukisema uizungumzie mwezi mzima hakuna manufaa yeyote yale.
Baada ya ile mechi, nguvu kubwa ilipaswa ku focus kwenye tuzo za CAF kwa kuhamisisha watu mitandaoni na kwenye vyombo vya habari ikiwemo redio, tv na magezeti kuwaelekeza namna ya kupiga kura ili kujiongezea nafasi zinazowaniwa.
Timu ya Simba inapofikia maswala ya kupiga kura, utaona wanahamasishana kwenye kurasa rasmi za klabu, magroup mbalimbali na hata humu hufungua nyuzi juu ya kuwahamasisha mashabiki wao.
Lakini upande wa Yanga wameonesha kushindwa kumudu hilo jambo, sio afisa habari wala digital manager wote wapo wapo na mambo ya upuuzi uliopita na mechi iliyopita.
Mpaka sasa Diarra hayupo kwenye kinyang'anyiro cha tuzo hizo.
Vijana wa Rage ni ovyo sana....Mambo mengine kama hujui bora kukaa kimya kuliko kujiaibisha namna hii.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Aliyesema “wenye akili ni wawili tu” wala hakukosea…Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.
Cha kwanza ni kipa bora wa msimu
Na ya pili ni klabu bora ya msimu.
Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi ya mtani wake wao wamekomaa na ishu hiyo hiyo moja na wakati mechi imeisha na hata ukisema uizungumzie mwezi mzima hakuna manufaa yeyote yale.
Baada ya ile mechi, nguvu kubwa ilipaswa ku focus kwenye tuzo za CAF kwa kuhamisisha watu mitandaoni na kwenye vyombo vya habari ikiwemo redio, tv na magezeti kuwaelekeza namna ya kupiga kura ili kujiongezea nafasi zinazowaniwa.
Timu ya Simba inapofikia maswala ya kupiga kura, utaona wanahamasishana kwenye kurasa rasmi za klabu, magroup mbalimbali na hata humu hufungua nyuzi juu ya kuwahamasisha mashabiki wao.
Lakini upande wa Yanga wameonesha kushindwa kumudu hilo jambo, sio afisa habari wala digital manager wote wapo wapo na mambo ya upuuzi uliopita na mechi iliyopita.
Mpaka sasa Diarra hayupo kwenye kinyang'anyiro cha tuzo hizo.
Vyovyote itakavyokuwa wewe ni tabularasaHapana natokea umbumbumbuni mkuu.
Kwa hakika Rage hakukosea .Aliyesema “wenye akili ni wawili tu” wala hakukosea…
Nani kakuambia kura zinapigwa na mashabiki?
Nyie uto siwakubali ila naona kama mnaweza beba tuzo ya timu bora. Msimu uliopita upepo kweli ulikuwa upande wenuUmeambiwa hizo ni tuzo za kupigiana kura za mashabiki?.View attachment 2816502