Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,459
- 11,345
Dharau hizi kwa Chama Tawala ujue hahaha!
Tatizo lao wanawaachia watu waliofilisika akili ndio wawape mbinu hilo ni bomu licha ya kua ni Chama ambacho wengi wanakichukia wangekua wanafanya vitu smart tungesema angalau ila sasa hawana chemistry nzuri baina yao na wafuasi wao yaani kuitetea CCM ki hoja ni ngumu kutokana na mazingira wanayojiweka!Propaganda zao hata azieleweki yani ni kuchezea pesa.
Sure enzi zile CCM yenyewe ndani ilikua ya Moto wao wenyewe walikua na upinzani ndani ya chama kiasi ambacho kilileta challenge kubwa nadhani ile spirit iliisha 2015 baada ya hapo ni uchawa tu!Propanda kidogo walikuwa wanaziweza kina Mzee Kinana. Huyu Mchambawima High School na yule mfoji vyeti kichwani watupu hadi sio poa
Hahahah Kwamba waratibu ni wazee wa bofro na supu ya dagaa?Urojo hawana akili
Zero yaani imagine chama kina kila rasilimali zote hivi ingekua upinzani wana hiyo chance imagine nafasi wangetumia!Bure kabisa hawa.
chama cha siasa kilishadead, imebaki mitutu ya bundukiHusika na kichwa cha habari hapo juu,kila chama cha Siasa hua na kitengo maalumu cha kutengeneza mbinu zao kuwakabia juu wapinzani wao,
Mbinu hizo hutumika kama tool ya kuanzisha au kuhamisha mijadala ya mhimu ili kutia wenge wapinzani wao wajichanganye na wao wapate point 3 za mhimu katika maswala mbali mbali,
Kwa hapa Tanzania Chama tawala Yaani CCM kitengo cha Propaganda kinafeli sana kila kinapoanzisha kampeni yake, sababu kubwa ni waandaji kua na akili ndogo ya kung'amua na kubaini nguvu ya wapinzani wao imetokana na Chemistry nzuri ya chama na wafuasi wao,
Mfano mdogo ni hii propaganda ya katibu & Co wa CHADEMA Heche kula hela za donation kutoka kwa wanachama naona kitengo cha Propaganda kutoka CCM wamekivalia njuga na ajabu wote wanatumia style moja kuisambaza yaani ni kama imeratibiwa na mtu na wao kupewa scrip kiasi ambacho kinaitoa kwenye uhalisia na kuonekana ni cheap Propaganda,
Nashauri kwa Chama kikubwa kama CCM andaeni watu smart wa kutengeneza script nzuri ambayo itakua na hoja nzito za kuwakabia juu wapinzani wenu kama wao wanavyo wakabia juu
Kuliko kuandaa kitu kinachostukiwa na wapinzani kirahisi,
Tatizo la CCM ni kutumia watu wale wale kuandaa badala ya kua wabunifu kama wenzenu,
Nimelize na hili kuweni smart kuweka chambo kwenye shimo la nyoka maana ukitia mkono utaupanda mwili wako sumu!
Duuu machine gun Political Party au sio mwanetu!chama cha siasa kilishadead, imebaki mitutu ya bunduki
Kitengo cha Propaganda cha CCM hakifanyi kazi za kijinga kama hizo. Bali kazi yake ni kuelezea mambo mazuri Serikali ya CCM inayafanya kwa wananchi wake na ndio maana kila Uchaguzi Mkuu ukifika, wananchi wanakipa ridhaa ya kuendelea kuongoza.Husika na kichwa cha habari hapo juu,kila chama cha Siasa hua na kitengo maalumu cha kutengeneza mbinu zao kuwakabia juu wapinzani wao,
Mbinu hizo hutumika kama tool ya kuanzisha au kuhamisha mijadala ya mhimu ili kutia wenge wapinzani wao wajichanganye na wao wapate point 3 za mhimu katika maswala mbali mbali,
Kwa hapa Tanzania Chama tawala Yaani CCM kitengo cha Propaganda kinafeli sana kila kinapoanzisha kampeni yake, sababu kubwa ni waandaji kua na akili ndogo ya kung'amua na kubaini nguvu ya wapinzani wao imetokana na Chemistry nzuri ya chama na wafuasi wao,
Mfano mdogo ni hii propaganda ya katibu & Co wa CHADEMA Heche kula hela za donation kutoka kwa wanachama naona kitengo cha Propaganda kutoka CCM wamekivalia njuga na ajabu wote wanatumia style moja kuisambaza yaani ni kama imeratibiwa na mtu na wao kupewa scrip kiasi ambacho kinaitoa kwenye uhalisia na kuonekana ni cheap Propaganda,
Nashauri kwa Chama kikubwa kama CCM andaeni watu smart wa kutengeneza script nzuri ambayo itakua na hoja nzito za kuwakabia juu wapinzani wenu kama wao wanavyo wakabia juu
Kuliko kuandaa kitu kinachostukiwa na wapinzani kirahisi,
Tatizo la CCM ni kutumia watu wale wale kuandaa badala ya kua wabunifu kama wenzenu,
Nimelize na hili kuweni smart kuweka chambo kwenye shimo la nyoka maana ukitia mkono utaupanda mwili wako sumu!
hot air 🐒Husika na kichwa cha habari hapo juu,kila chama cha Siasa hua na kitengo maalumu cha kutengeneza mbinu zao kuwakabia juu wapinzani wao,
Mbinu hizo hutumika kama tool ya kuanzisha au kuhamisha mijadala ya mhimu ili kutia wenge wapinzani wao wajichanganye na wao wapate point 3 za mhimu katika maswala mbali mbali,
Kwa hapa Tanzania Chama tawala Yaani CCM kitengo cha Propaganda kinafeli sana kila kinapoanzisha kampeni yake, sababu kubwa ni waandaji kua na akili ndogo ya kung'amua na kubaini nguvu ya wapinzani wao imetokana na Chemistry nzuri ya chama na wafuasi wao,
Mfano mdogo ni hii propaganda ya katibu & Co wa CHADEMA Heche kula hela za donation kutoka kwa wanachama naona kitengo cha Propaganda kutoka CCM wamekivalia njuga na ajabu wote wanatumia style moja kuisambaza yaani ni kama imeratibiwa na mtu na wao kupewa scrip kiasi ambacho kinaitoa kwenye uhalisia na kuonekana ni cheap Propaganda,
Nashauri kwa Chama kikubwa kama CCM andaeni watu smart wa kutengeneza script nzuri ambayo itakua na hoja nzito za kuwakabia juu wapinzani wenu kama wao wanavyo wakabia juu
Kuliko kuandaa kitu kinachostukiwa na wapinzani kirahisi,
Tatizo la CCM ni kutumia watu wale wale kuandaa badala ya kua wabunifu kama wenzenu,
Nimelize na hili kuweni smart kuweka chambo kwenye shimo la nyoka maana ukitia mkono utaupanda mwili wako sumu!
Sasa kama makamo mwenyekiti, Toka Mimi Nina miaka 9_56, unategemea kutakuwa na jipya hapo!Husika na kichwa cha habari hapo juu,kila chama cha Siasa hua na kitengo maalumu cha kutengeneza mbinu zao kuwakabia juu wapinzani wao,
Mbinu hizo hutumika kama tool ya kuanzisha au kuhamisha mijadala ya mhimu ili kutia wenge wapinzani wao wajichanganye na wao wapate point 3 za mhimu katika maswala mbali mbali,
Kwa hapa Tanzania Chama tawala Yaani CCM kitengo cha Propaganda kinafeli sana kila kinapoanzisha kampeni yake, sababu kubwa ni waandaji kua na akili ndogo ya kung'amua na kubaini nguvu ya wapinzani wao imetokana na Chemistry nzuri ya chama na wafuasi wao,
Mfano mdogo ni hii propaganda ya katibu & Co wa CHADEMA Heche kula hela za donation kutoka kwa wanachama naona kitengo cha Propaganda kutoka CCM wamekivalia njuga na ajabu wote wanatumia style moja kuisambaza yaani ni kama imeratibiwa na mtu na wao kupewa scrip kiasi ambacho kinaitoa kwenye uhalisia na kuonekana ni cheap Propaganda,
Nashauri kwa Chama kikubwa kama CCM andaeni watu smart wa kutengeneza script nzuri ambayo itakua na hoja nzito za kuwakabia juu wapinzani wenu kama wao wanavyo wakabia juu
Kuliko kuandaa kitu kinachostukiwa na wapinzani kirahisi,
Tatizo la CCM ni kutumia watu wale wale kuandaa badala ya kua wabunifu kama wenzenu,
Nimelize na hili kuweni smart kuweka chambo kwenye shimo la nyoka maana ukitia mkono utaupanda mwili wako sumu!
Think tank wao anayeandaa script ni Tlaatlaah unategemea nini.Husika na kichwa cha habari hapo juu,kila chama cha Siasa hua na kitengo maalumu cha kutengeneza mbinu zao kuwakabia juu wapinzani wao,