Kitengo cha magonjwa ya mlipuko Musoma vijijini, watu wanaangamia kwa kipindupindu

hps300

Senior Member
Feb 20, 2016
170
152
Wahusika kama mnapitia humu okeoni watu Musoma vijijini, ninapoandika bandiko hili katika kijiji kimoja tu cha Chitare kuna vifo vipya vitano (misiba mitano) mheshimiwa mbunge Pro Mhongo wapiga kura wako wanateketea kwa kipindupindu,

Elimu ya kutosha kwa wanavijiji kuhusu kipindupindu hakuna, huduma ya kwanza hakuna, Kambi kwa ajili ya kulaza wagonjwa hakuna, Mortual hakuna, maiti za waliokufa kwa kipindupindu ziko ndani zikisubiri watu wa Halmshauri kutoka Musoma mjini kuja kuzika, haki ya hawa wazazi na ndugu zetu kupata huduma za afya iko wapi?

Ajabu hili nijimbo ambalo hata kabla ya kutengwa lilikuwa wilaya kamili inayojitegemea lakini watendaji wote ofisi zao ziko Musoma mjini. Leo imetengwa na kuwa na majimbo mawili Butihama na Musoma Vijijini. Hii ni wilaya ambayo haina hospitali ya wilaya, haina kituo cha afya cha kueleweka, ukiacha kile cha pale Mrangi ambacho kipo tangu Tanzania ilipopata uhuru na kimechoka.

Hili jimbo pekee ambalo lina diwani mmoja tu wa ukawa, Serikali sikivu ya awamu ya tano wasaidieni Wajita kipindupindu kinawamaliza.
 
Kwani serikali kuanzia ngazi ya kijiji hadi wilaya imeenda likizo ama?
Hili ni jambo la kushangaza kama mh. muhongo ndo anaombwa kufika huko kusgughulikia suala la kipindupindu. Inadhihirisha ni kiasi gani watendaji wa serikali ya vijiji hadi wilaya walivyolala.
Ngoja mh. Majaliwa aje atumbue majipu huko maana inaonekana yameiva lakini mtumbuaji ndo hayupo. Lakini kabla hajafika mwambie mh. MULONGO RC MARA atawajibisha wazembe haraka Sana.
 
Tusianze tutafuta mchawi nani baada ya kuwa hayo yametokea,tatizo ni watendaji wakuu wote wapo Musoma mjini kwa hiyo kwa issue kama hiyo mpaka mganga mkuu atoke mjini afike huko si rahisi kama wangekuw wanakaa kwenye halmashauri zao,hili nalo jipu linafaa kutumbuliwa,ofisi kwingine field kwingine majanga haya
 
Leta uzi kuna umeleta taarifa kimagumashi sana..kambi zipo tatu za kipindupindu na moja ilifungwa kutokana na kukosa wagonjwa kwa muda mrefu. Kwa taarifa tu takribani zaidi ya wiki mbili kulikuwa hakuna mgonjwa wa kipindupindu ambapo kati ya wilaya iliyofanikiwa kupambana na ugonjwa huo musoma vijijini ipo juu. Hao wagonjwa wameibuka tarehe 16/03/2016 walikuwa 7 na kati yao 3 walifariki inaelekea ni watu wa familia moja.
 
Afu vipindupindu vya wajita wao wenyewe wanajuana wanachofanyia Kabila langu ILA washenzi Fulani hv hufanyia ujinga. Makanya Mdogo Kutoka Kijiji cha Bukumi.
 
Wahusika kama mnapitia humu okeoni watu Musoma vijijini, ninapoandika bandiko hili katika kijiji kimoja tu cha Chitare kuna vifo vipya vitano (misiba mitano) mheshimiwa mbunge Pro Mhongo wapiga kura wako wanateketea kwa kipindupindu,

Elimu ya kutosha kwa wanavijiji kuhusu kipindupindu hakuna, huduma ya kwanza hakuna, Kambi kwa ajili ya kulaza wagonjwa hakuna, Mortual hakuna, maiti za waliokufa kwa kipindupindu ziko ndani zikisubiri watu wa Halmshauri kutoka Musoma mjini kuja kuzika, haki ya hawa wazazi na ndugu zetu kupata huduma za afya iko wapi?

Ajabu hili nijimbo ambalo hata kabla ya kutengwa lilikuwa wilaya kamili inayojitegemea lakini watendaji wote ofisi zao ziko Musoma mjini. Leo imetengwa na kuwa na majimbo mawili Butihama na Musoma Vijijini. Hii ni wilaya ambayo haina hospitali ya wilaya, haina kituo cha afya cha kueleweka, ukiacha kile cha pale Mrangi ambacho kipo tangu Tanzania ilipopata uhuru na kimechoka.

Hili jimbo pekee ambalo lina diwani mmoja tu wa ukawa, Serikali sikivu ya awamu ya tano wasaidieni Wajita kipindupindu kinawamaliza.
Chasugu/Chamae
 
Tatizo watu wanaimani potofu wanaamini maswala sijui ya kidumu watu wa kutoka huko nadhani wameelewa so wanatibiana kienyeji au wanaamini ukivaa jani la mgomba mkononi hupati kipindupindu so wanajikuta wanakaa muda wanaugua na kuambukizana yan mtu anafika hospital yupo katika final stage baada ya kumshindwa huko. Vitu vingine msiongelee kiushabiki mfanye ka research kidogo..
 
Truly Stated but I think huo ujinga upo.
 
Poleni sana kipindupindu ni tatizo chukueni hatua stahiki ili kupambana na hilo gonjwa busara zitumike pamoja na usafi wa mazingira kwa ujumla kama hakuna vyoo hakikisheni mnachimba haraka alafu acheni imani potofu mtakwisha kwa kuendekeza hizo fikra.
 
Wahusika kama mnapitia humu okeoni watu Musoma vijijini, ninapoandika bandiko hili katika kijiji kimoja tu cha Chitare kuna vifo vipya vitano (misiba mitano) mheshimiwa mbunge Pro Mhongo wapiga kura wako wanateketea kwa kipindupindu,

Elimu ya kutosha kwa wanavijiji kuhusu kipindupindu hakuna, huduma ya kwanza hakuna, Kambi kwa ajili ya kulaza wagonjwa hakuna, Mortual hakuna, maiti za waliokufa kwa kipindupindu ziko ndani zikisubiri watu wa Halmshauri kutoka Musoma mjini kuja kuzika, haki ya hawa wazazi na ndugu zetu kupata huduma za afya iko wapi?

Ajabu hili nijimbo ambalo hata kabla ya kutengwa lilikuwa wilaya kamili inayojitegemea lakini watendaji wote ofisi zao ziko Musoma mjini. Leo imetengwa na kuwa na majimbo mawili Butihama na Musoma Vijijini. Hii ni wilaya ambayo haina hospitali ya wilaya, haina kituo cha afya cha kueleweka, ukiacha kile cha pale Mrangi ambacho kipo tangu Tanzania ilipopata uhuru na kimechoka.

Hili jimbo pekee ambalo lina diwani mmoja tu wa ukawa, Serikali sikivu ya awamu ya tano wasaidieni Wajita kipindupindu kinawamaliza.

wachimbe vyoo na kuvitumia, wanawe kwa sabuni kabla ya kula, na pia baada ya kutoka chooni, wajita ni wabishi sana
 
Leta uzi kuna umeleta taarifa kimagumashi sana..kambi zipo tatu za kipindupindu na moja ilifungwa kutokana na kukosa wagonjwa kwa muda mrefu. Kwa taarifa tu takribani zaidi ya wiki mbili kulikuwa hakuna mgonjwa wa kipindupindu ambapo kati ya wilaya iliyofanikiwa kupambana na ugonjwa huo musoma vijijini ipo juu. Hao wagonjwa wameibuka tarehe 16/03/2016 walikuwa 7 na kati yao 3 walifariki inaelekea ni watu wa familia moja.

Boss una uhakika na unachongea ama unaongea kwa hisia na mhemko wa Kisiasa, ninapoandika hii thread mimi niko majita kwenyewe ambapo ndo nilipozaliwa na kukulia, hebu nitajie hizo kambi ziko vijiji gani majita, kata na tarafa. Nina uwezo mpaka wa kutaja majina yaliopoteza maisha kuanzia tarehe 16/03/2016.
Haiwezekani eneo ambalo kuna kipindupindu watendaji wanasubiriwa kutoka Musoma mjini, mtu amefariki tarehe 16/03/2016 jioni hakuna mahali pa kuhifadhi miili ya watu waliokufa kwa kipindupindu. Na familia zinaendelea kuingia na kutoka kwenye nyumba hizo walimohifadhiwa marehemu wakati wakisubiri kuzikwa. Ni inzi wangapi wataingia na kutoka kwenye hizo nyumba?

Pia acha kupotosha unaposema kuwa ni familia moja sio kweli kabisa. Kama unamasilahi na hili mimi siko kwa ajili ya masilahi bali afya ya Babu zangu, Bibizangu ,babazangu,mamazangu nk. Kama uko Majita na kama unadata sahihi nambie kuanzia juzi kuna vifo vingapi vimetokea Chitare TU, Achilia mbali Busekela, Buira nk.

Ikiwa umedanganywa mimi niko eneo la tukio kabisa nikimalizia likizo yangu.
 
Tatizo watu wanaimani potofu wanaamini maswala sijui ya kidumu watu wa kutoka huko nadhani wameelewa so wanatibiana kienyeji au wanaamini ukivaa jani la mgomba mkononi hupati kipindupindu so wanajikuta wanakaa muda wanaugua na kuambukizana yan mtu anafika hospital yupo katika final stage baada ya kumshindwa huko. Vitu vingine msiongelee kiushabiki mfanye ka research kidogo..

Kwenye imani naweza kubaliana nawe kwa suala la kambi hapana
 
Afu vipindupindu vya wajita wao wenyewe wanajuana wanachofanyia Kabila langu ILA washenzi Fulani hv hufanyia ujinga. Makanya Mdogo Kutoka Kijiji cha Bukumi.
Siamini kama kuna kipindupindu cha wajita, Wakurya, wazanaki, wajaluo, wakabwa, wakiroba nk.
Kipindupindu ni kipindupindu. Najiua kuna tatizo la imani kuamini kunakipindu pindu cha kutegwa na upuuzi kama hao. Lakini endapo ingekuwa ni cha kutegwa ama kulogwa basi wasingepona wanapopewa dawa za hospitali, hivyo watu wa kitengo cha afya nijukumu lao kutoa elimu.

Hakuna mkoa ambao haujakumbwa na kipindupindu hapa tanzania, je wote ni wajita? Dar es Salaam Buguruni ilikuwa na wagonjwa wa kutosha kabisa, Kigogo, Sinza, Mwananyamala nk. Mwanza, Morogoro, Dodoma kila sehemu. Watu wasikwepe majukumu yao. Nini kazi za mabibi afya na bwana afya? Tuache kuja na cheap popularity kutaka kudivert conept. Mwisho wa siku lazima solution ipatikane na tatizo liishe aijalishi ni wajinga kama mnavyojaribu kujipambanua au ni wabishi.
 
Ugonjwa wa kipindupindu unatokana na mtu kula mavi mabichi, mtu huyo atatapika na kuhara sana kwa mda mzuri, hivyo hupungukiwa na maji mwilini na kuishiwa nguvu msipo muwahi hupoteza maisha. Hii hitaji watu kutoka halmashauli, hamka usafi unahitajika
 
Siamini kama kuna kipindupindu cha wajita, Wakurya, wazanaki, wajaluo, wakabwa, wakiroba nk.
Kipindupindu ni kipindupindu. Najiua kuna tatizo la imani kuamini kunakipindu pindu cha kutegwa na upuuzi kama hao. Lakini endapo ingekuwa ni cha kutegwa ama kulogwa basi wasingepona wanapopewa dawa za hospitali, hivyo watu wa kitengo cha afya nijukumu lao kutoa elimu.

Hakuna mkoa ambao haujakumbwa na kipindupindu hapa tanzania, je wote ni wajita? Dar es Salaam Buguruni ilikuwa na wagonjwa wa kutosha kabisa, Kigogo, Sinza, Mwananyamala nk. Mwanza, Morogoro, Dodoma kila sehemu. Watu wasikwepe majukumu yao. Nini kazi za mabibi afya na bwana afya? Tuache kuja na cheap popularity kutaka kudivert conept. Mwisho wa siku lazima solution ipatikane na tatizo liishe aijalishi ni wajinga kama mnavyojaribu kujipambanua au ni wabishi.
Wewe Ruka ruka Tu Humu kwenye Mitandao mi Nalifahamu kabila langu vizuri zaidi yako wewe. Unakuja na kurukaruka.
Wambieni hao mabibi na Manini wenu watoe elimu na Onyo kali kuhusu huo ujinga naongea hivi kwa sababu kipindi niko Mdogo kipindu pindu kilitokea maeneo ya Burungu na ilikua Ni watu wanafanyiana ujinga though by that there was a dense population and the question of Sanitary care haikuepo But Kuna watu walifukuzwa baada ya kufukuzwa hakukua na kipindupindu tena.
Kwa hyo Bwana mkubwa Siandiki from nowhere I know right that Hilo kabila langu mambo mengi Sana. Na kama wee PIA kabila lile unalijua fika sema Tu huezi funguka coz it's comes from yours .
 
Boss una uhakika na unachongea ama unaongea kwa hisia na mhemko wa Kisiasa, ninapoandika hii thread mimi niko majita kwenyewe ambapo ndo nilipozaliwa na kukulia, hebu nitajie hizo kambi ziko vijiji gani majita, kata na tarafa. Nina uwezo mpaka wa kutaja majina yaliopoteza maisha kuanzia tarehe 16/03/2016.
Haiwezekani eneo ambalo kuna kipindupindu watendaji wanasubiriwa kutoka Musoma mjini, mtu amefariki tarehe 16/03/2016 jioni hakuna mahali pa kuhifadhi miili ya watu waliokufa kwa kipindupindu. Na familia zinaendelea kuingia na kutoka kwenye nyumba hizo walimohifadhiwa marehemu wakati wakisubiri kuzikwa. Ni inzi wangapi wataingia na kutoka kwenye hizo nyumba?

Pia acha kupotosha unaposema kuwa ni familia moja sio kweli kabisa. Kama unamasilahi na hili mimi siko kwa ajili ya masilahi bali afya ya Babu zangu, Bibizangu ,babazangu,mamazangu nk. Kama uko Majita na kama unadata sahihi nambie kuanzia juzi kuna vifo vingapi vimetokea Chitare TU, Achilia mbali Busekela, Buira nk.

Ikiwa umedanganywa mimi niko eneo la tukio kabisa nikimalizia likizo yangu.
Nina uhakika na ninachoongea kumbe wewe umekuja juzi tu kwenye likizo hata hufahamu yanayoendelea anyways ugonjwa ulianza mwaka wa jana mwezi wa Tisa na kumekuwa na hali ya wagonjwa kuongezeka, kupungua,kuisha na kuanza upya.. Nije kwenye maswali yako Takribani zaidi ya wiki tatu kumekuwa hakuna wagonjwa kabisa kabisa katika wilaya hiyo na kupelekea kambi ya Etaro kufungwa na kubaki na kambi tatu ambazo ni Etuma, Chumwi na Bukima zikiendelea kuwa wazi kwa ajili ya dharura hivyo kwa kipindi hiko chote wagonjwa hawakuwepo hadi kufikia tarehe 16/03/2016 ndipo zilipatikana taarifa za kuwepo kwa wagonjwa wapya 7 wa chitare ambapo kati yao wagonjwa watatu walifariki. Na jana tarehe 17/03/2016 walipokelewa wapya 9 toka eneo hilo hilo la Chitare na kupewa huduma na kuruhusiwa ambapo hadi leo tarehe 18/03/2016 jumla ya wagonjwa walikuwa wanaendelea na matibabu ni 6. Baadhi ya wagonjwa wametokea wilaya ya Bunda/Butiama na wengine wamekuwa wakitoe katika visiwa vilivyopo karibu na wilaya kutoka na shughuli za uvuvi..
Matibabu yanaendelea na dawa, drips zipo za kutosha na mkurugenzi wa Halmashauri leo ametembelea kuona hali halisi..
Sina ushabiki naelezea kadri ninavyoelewa na kama unahitaji taarifa zaidi wasiliana na DMO...
 
Wewe Ruka ruka Tu Humu kwenye Mitandao mi Nalifahamu kabila langu vizuri zaidi yako wewe. Unakuja na kurukaruka.
Wambieni hao mabibi na Manini wenu watoe elimu na Onyo kali kuhusu huo ujinga naongea hivi kwa sababu kipindi niko Mdogo kipindu pindu kilitokea maeneo ya Burungu na ilikua Ni watu wanafanyiana ujinga though by that there was a dense population and the question of Sanitary care haikuepo But Kuna watu walifukuzwa baada ya kufukuzwa hakukua na kipindupindu tena.
Kwa hyo Bwana mkubwa Siandiki from nowhere I know right that Hilo kabila langu mambo mengi Sana. Na kama wee PIA kabila lile unalijua fika sema Tu huezi funguka coz it's comes from yours .

Dare to say am worried, sina uhakika na uelewa wako lakini pia elimu yako, kipindupindu hakina zaidi ya kula kinyesi cha mtu mwenye chenye bakteria wa ugonjwa huo. Kwa ufafanuzi :- Kipindupindu (kwa Kilatini na Kiingerezacholera kutoka neno la Kigiriki χολέρα, kholera, lililotokana na χολή, kholē, nyongo) ni ugonjwa hatari unaosababishwa nabakteria hasa katika [[utumbo mwembamba] Dalili zake ni kuhara sana na kutapika sana pamoja na homa kali. Kuambukizwa hutokea hasa kupitia maji au vyakula vilivyochafuliwa. Kiwango cha kuhara na kutapika kinaleta upungufu wa maji na uwiano wa chumvi mwilini. Baada ya dalili hizo kutokea kuna hatari ya kifo kwaasilimia 20 - 70 ya wagonjwa kama hawana tiba. Tunaweza kujilinda na kipindupindu endapo tukajilinda na vitu vifuatavyo ambavyo ni kunywa maji safi na
Salama na kula chakula kisicho poa
220px-Cholera_bacteria_SEM.jpg

Kuambukiza.
Kipindupindu husababishwa na bakteria aina ya Vibrio cholerae zinazosababisha kuhara majimaji yenye rangi kama maji ya kupikia mchele. Bakteria hiyo ilitambuliwa mwaka 1854 na Filippo Pacini. Robert Koch alifaulu mwaka 1883kufuga bakteria kutokana na utumbo wa wagonjwa waliokufa kwa kipindupindu huko Misri.

Kipindupindu hutokea hasa katika nchi pasipo maji safi hasa ambako maji ya kunywa na majimaji ya choo yanaweza kuchanganyikana. Bakteria ya vibrio cholerae hupatikana hasa katika mavi na maji ya choo na pia katika maji ya bahari, maziwa na mito kama maji machafu huingizwa katika magimba ya maji bila kusafishwa kwanza.

Vilevile samaki na vyakula vingine kutoka maji yenye bakteria vinachafuliwa na vinaweza kusababisha ambukizo. Vilevile vyakula vinavyooshwa kwa maji yaliyochafuliwa na bakteria ya kipindupindu.

Katika mazingira yenye maji ya bomba, yaliyosafishwa na karakana ya kusafisha maji machafu, kipindupindu hutokea mara chache tu. Kujulikana kwa njia za kuambukizwa kulikuwa sababu ya kuanzishwa na kugharamiwa kwa teknolojia hizo katika nchi nyingi.

Matibabu
Hospitali mjini Dhaka inayoonyesha vitanda vya wanaougua ugonjwa wa kipindupindu
1. Mgonjwa hunyweshwa maji mengi, kwa sababu mwili wake hupoteza maji mengi anapougua maradhi haya.
2. Dawa zinazojulikana kufanya kazi ni kama cotrimoxazole, erythromycin, doxycycline, chloramphenicol, na furazolidone. 3. Chanjo za kuzuia Kipindipindu hutolewa katika baadhi za nchi.

Kuepukana na Kipindupindu
Kinga ni kama ifuatavyo:
  • wakati wowote kunawa mikono kabla ya kutayarisha au kula chakula, kusafisha vyombo kama sahani, vikombe n.k.
  • Nawa mikono kabisa kwa sabuni – kiganja, upande wa nyuma wa mkono, katikati ya vidole na kucha kwa sekunde. Baada ya haja na kabla ya kula.
  • kuwa na akiba ya maji yaliyochemshwa pasipo na maji safi ya bomba
  • kupika chakula vizuri maana halijoto juu ya 75 °C (hadi 85 mlimani) inaua bakteria;
  • kumenya matunda yote
  • kufunika chakula maana nzi wanapitisha bakteria kwa miguu yao
  • maji ya choo yanayotokamana na wagonjwa wa kipindupindu yanapasa kupitia mashimo ya choo yaliyohifadhiwa vizuri ili kuzuia usambazaji wa bakteria
  • vifaa vyote vinavyotumiwa na wagonjwa vinapaswa kuchemshwa kwa maji ya moto
  • mikono inayoshika wagonjwa au nguo zao inapaswa kunaniwa kwa sabuni
  • mashimo ya choo yanapaswa kutiwa dawa za kuua bakteria kwa kutumia klorini
  • Tumia maji yaliyotibiwa pekee hasa ikiwa ni ya kunywa; yachemshe au utie matone 5 ya klorini kwa kila galoni 1 au utumie dawa ya kutakasa maji. Yaache maji yatulie kwa dakika 30 kabla ya kunywa.
  • Tumia choo kila mara – usiende haja karibu au ndani ya chanzo cha maji.
But Kuna watu walifukuzwa baada ya kufukuzwa hakukua na kipindupindu tena.
Kwa mtazamo huu mtakufa sana kumbe mimi nilitarajia walau wewe uwe mfano kumbe una kiingereza cha kwa Ras Simba'
 
Mkuu kizazi hiki hakihitaji watu wanaoamini hayo mambo ya kwamba ugonjwa wa kipindupindu unatokana na watu kufanyiziana. Labda kama unataka tuamini kwamba kuna "Matome" mwingine unaeishi kwa sasa baada ya yule wa awali kulishwa kiporo chenye sumu. Kama humjui huyo Matome basi ulizia kwa wakubwa zako huko huko Majita watakupa habari zake kisha ujifananishe nae.
 
Ahsanteni wote
 
Dare to say am worried, sina uhakika na uelewa wako lakini pia elimu yako, kipindupindu hakina zaidi ya kula kinyesi cha mtu mwenye chenye bakteria wa ugonjwa huo. Kwa ufafanuzi :- Kipindupindu (kwa Kilatini na Kiingerezacholera kutoka neno la Kigiriki χολέρα, kholera, lililotokana na χολή, kholē, nyongo) ni ugonjwa hatari unaosababishwa nabakteria hasa katika [[utumbo mwembamba] Dalili zake ni kuhara sana na kutapika sana pamoja na homa kali. Kuambukizwa hutokea hasa kupitia maji au vyakula vilivyochafuliwa. Kiwango cha kuhara na kutapika kinaleta upungufu wa maji na uwiano wa chumvi mwilini. Baada ya dalili hizo kutokea kuna hatari ya kifo kwaasilimia 20 - 70 ya wagonjwa kama hawana tiba. Tunaweza kujilinda na kipindupindu endapo tukajilinda na vitu vifuatavyo ambavyo ni kunywa maji safi na
Salama na kula chakula kisicho poa
220px-Cholera_bacteria_SEM.jpg

Kuambukiza.
Kipindupindu husababishwa na bakteria aina ya Vibrio cholerae zinazosababisha kuhara majimaji yenye rangi kama maji ya kupikia mchele. Bakteria hiyo ilitambuliwa mwaka 1854 na Filippo Pacini. Robert Koch alifaulu mwaka 1883kufuga bakteria kutokana na utumbo wa wagonjwa waliokufa kwa kipindupindu huko Misri.

Kipindupindu hutokea hasa katika nchi pasipo maji safi hasa ambako maji ya kunywa na majimaji ya choo yanaweza kuchanganyikana. Bakteria ya vibrio cholerae hupatikana hasa katika mavi na maji ya choo na pia katika maji ya bahari, maziwa na mito kama maji machafu huingizwa katika magimba ya maji bila kusafishwa kwanza.

Vilevile samaki na vyakula vingine kutoka maji yenye bakteria vinachafuliwa na vinaweza kusababisha ambukizo. Vilevile vyakula vinavyooshwa kwa maji yaliyochafuliwa na bakteria ya kipindupindu.

Katika mazingira yenye maji ya bomba, yaliyosafishwa na karakana ya kusafisha maji machafu, kipindupindu hutokea mara chache tu. Kujulikana kwa njia za kuambukizwa kulikuwa sababu ya kuanzishwa na kugharamiwa kwa teknolojia hizo katika nchi nyingi.

Matibabu
Hospitali mjini Dhaka inayoonyesha vitanda vya wanaougua ugonjwa wa kipindupindu
1. Mgonjwa hunyweshwa maji mengi, kwa sababu mwili wake hupoteza maji mengi anapougua maradhi haya.
2. Dawa zinazojulikana kufanya kazi ni kama cotrimoxazole, erythromycin, doxycycline, chloramphenicol, na furazolidone. 3. Chanjo za kuzuia Kipindipindu hutolewa katika baadhi za nchi.

Kuepukana na Kipindupindu
Kinga ni kama ifuatavyo:
  • wakati wowote kunawa mikono kabla ya kutayarisha au kula chakula, kusafisha vyombo kama sahani, vikombe n.k.
  • Nawa mikono kabisa kwa sabuni – kiganja, upande wa nyuma wa mkono, katikati ya vidole na kucha kwa sekunde. Baada ya haja na kabla ya kula.
  • kuwa na akiba ya maji yaliyochemshwa pasipo na maji safi ya bomba
  • kupika chakula vizuri maana halijoto juu ya 75 °C (hadi 85 mlimani) inaua bakteria;
  • kumenya matunda yote
  • kufunika chakula maana nzi wanapitisha bakteria kwa miguu yao
  • maji ya choo yanayotokamana na wagonjwa wa kipindupindu yanapasa kupitia mashimo ya choo yaliyohifadhiwa vizuri ili kuzuia usambazaji wa bakteria
  • vifaa vyote vinavyotumiwa na wagonjwa vinapaswa kuchemshwa kwa maji ya moto
  • mikono inayoshika wagonjwa au nguo zao inapaswa kunaniwa kwa sabuni
  • mashimo ya choo yanapaswa kutiwa dawa za kuua bakteria kwa kutumia klorini
  • Tumia maji yaliyotibiwa pekee hasa ikiwa ni ya kunywa; yachemshe au utie matone 5 ya klorini kwa kila galoni 1 au utumie dawa ya kutakasa maji. Yaache maji yatulie kwa dakika 30 kabla ya kunywa.
  • Tumia choo kila mara – usiende haja karibu au ndani ya chanzo cha maji.
But Kuna watu walifukuzwa baada ya kufukuzwa hakukua na kipindupindu tena.
Kwa mtazamo huu mtakufa sana kumbe mimi nilitarajia walau wewe uwe mfano kumbe una kiingereza cha kwa Ras Simba'
Ahsante Sana best.
 
Back
Top Bottom