Kitendo kipi ni cha aibu zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitendo kipi ni cha aibu zaidi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kiranja Mkuu, Aug 18, 2011.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kuwa shoga au kubadili jinsia kutoka mwanaume na kuwa mwanamke?
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Nimeingia kwa bahati mbaya,..kwani sikujua inazungumzia nini?...mimi hivi vitendo vinanichevua _natamani kama hayo maneno yasingekuwepo
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Aug 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Aibu kwa mujibu wa nani?
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kuwa shoga ni aibu zaidi.
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  nafikiri nimekosea njia samahani sana
   
 6. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Vyote.
   
 7. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  kwa mujibu wa mila na tamaduni za Tanzania.
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Utamaduni wetu ni upi haswa?!Kuna siku niliuliza nikakosa jibu....
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Aug 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Aibu kwa nani kama mhusika haoni aibu?
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Aug 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hebi niorodheshee hizo mila na tamaduni za Tanzani.
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kwa ndugu, jamaa na marafiki wa muhusika..
   
 12. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Yapo mengi yanayohusu "Utamaduni wetu" ila kwa context ya mada nijibu kwa kifupi kuwa: Ni ule unaopingana na vitendo vya kishoga na kubadili jinsi. Kwa wenzetu ruksa na ndo maana wanajitangaza hadharani na jamii inawajua wapo hata wengine wamepewa uaskofu nk.
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkirua huo utamaduni ulijengeka lini ?!Maana sidhani kama haya mambo yalikuwepo zamani mpaka kufikia kuyapinga kwenye utamaduni wetu.
   
 14. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,078
  Likes Received: 858
  Trophy Points: 280
  siku utakaposikia kuwa kaka yako au mwanao wa kiume ni hoga dnipo utakapo pata jibu la mila na desturi zetu.
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,635
  Trophy Points: 280
  Khaaaaaaa........ we kamshiki kangu ni noma aisee!... huachi kitu LOL
   
 16. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,078
  Likes Received: 858
  Trophy Points: 280
  kuna uwezekano tuna mashoga na wasagaji humu jf... haiwezekani mtu na atoe comments za hivi!!!!!
   
 17. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Lizzy Utamaduni unatafsiriwa kama "The set of shared attitudes, values, goals, and practices that characterizes an institution, organization or group. Endapo jamii kwa asilimia kubwa inkubaliana na jambo fulani basi baada ya muda huo hugeuka kuwa utamaduni wa jamii husika. Endapo ushoga ni p[arrt and parcel ya maisha yetu kama watanzania na mtu haoni tabu kujitangaza na jamii haioni tabu kumu accomodate hadi anapewa madaraka then huo ni utamaduni wao. Hapa hatuhitaji documentation kama katiba. Tusisahau kuwa utamaduni hukua na unabadilika kulingana na wakati na mahali though misingi yake haibadiliki sana.

  Kwa tafsiri hiyo hapo juu Ushoga na mambo yanayohusiana na hayo hauwezi kuwa sehemu ya utamaduni wetu kwan i ni jambo ambalo (pamoja na upya wake kwenye jamii yetu halikubaliwi na sehemu kubwa ya watu.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Aug 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Lazima wewe utakuwa mmoja wao.
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Babu nisaidie kujua....mimi bado kinda!
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkirua asante ila tunarudi pale pale kwamba kama ni utamaduni unaenda ukibadilika na muda...yani nao unaenda na wakati.Hivyo basi huu nao umeenza kujiingiza kwenye utamaduni wetu...hata kama sio wa Kitanzania bali ni wa kundi fulani ndani ya Tanzania ...kama ambavyo mila na tamaduni za baadhi ya makabila zikivyo. Kwasababu tu baadhi ya mila na tamaduni za makabila mengine hazinihusu mimi siwezi kukataa kwamba nazo ni sehemu ya utamaduni wetu japo sio taifa zima linazozikubali na kuzifuata.

  Hivyo hivyo kwa hawa watu...ndio maana siku hizi hata nguo wanaweza vaa vile wanavyopenda..kutembea tofauti na inavyoaminika mwanaume anatakiwa atembee...kuongea kwa madaha ya kike n.k mbele za watu...mitaani na hata majumbani.

  Inawezekana wakawa hawakubaliki kwa asilimia kubwa ya Watanzania ila wapo watu wanaowakubali...na wao kama kundi wameufanya huu utamaduni kua wao.Kadiri kundi litakavyoongezeka ndivyo na utamaduni wao utavyoshika kasi ya kua kwenyr chati sawa na tamaduni zetu nyingine.
   
Loading...