othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 5,696
- 9,114
Vp aliyesimama na kununua jogoo kwa laki moja?
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
kula mahindi haitoshi tunataka mpaka aanze kuvua nguo kabisa. ila mpaka leo bado nashangaa hivi alifikiria nini kula mhindi jukwaani. hii sio dalili ya kukosa ustaarabu?Na hapo bado Lissu hajaanza nayeye kununua mahindi
Nimekuelewa vizuri sana bwashee!Hakuna siyo kosa wala uvunjifu wa kanuni na sheria ya uchaguzi...
Kumbuka yuko safarini ktk mikoa 10 ya Tanzania nzima kutafuta saini za wadhamini ili wampe uhalali wa kisheria kuwa mgombea Urais wa JMT...
Wadhamini unaweza kukutana nao popote hata njiani kama afanyavyo sasa ili mradi Wawe wakaazi wa mkoa husika......
Yule aliyesimama Kibaigwa kula mahindi ya kuchoma! Tulia christapen ikuingie taratibu.Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
Mkuu Lissu hata akitangulia miezi miwili, harafu Jpm akaja nyuma Bado Jpm atashinda kwa kishindo.Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
Hilo ndio jibu lako!Yule aliyesimama Kibaigwa kula mahindi ya kuchoma! Tulia christapen ikuingie taratibu.
Siyo jibu ila ni mshangao (!) Kama ulienda shule ungeelewa maana ya alama hii.Hilo ndio jibu lako!
Alikuwa anagawa na rushwa? Waliosukumizwa hawajaumia? Jeshi la polisi linasemaje? Jo unazidi kuwa mjinga kadiri siku zinavyosogea
Jr
Huyu mgombea ni MCHOKOZI anataka kuwachokoza Polisi wamshughulikie. Anafanya hivyo kwa kisingizio kuwa "mbona Rais Magufuli anafanaya hivyo?". Huyu ni mchokozi na katumwa na vibaraka wake ili kutaka kuharibu KUSHINDWA KWAKE kwenye uchaguzi ujao. Tunamwambia yeye akijua hivi wengine wanajua vile. Halafu hiyo mikataba aliyoingia na hao mabeberu ya kuwapa madini na utajiri wa nchi hii akipata urais ASAHAU, atajua mwenyewe namna atakavyo walipa hizo pesa walizompa kwa ajili ya kampeni na uchaguzi mkuu 2020.Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
Msafara ukizuiwa unapaa angani? Halafu umemsahau mgombea wenu alipotoka kuchukua fomu anaye msafara sijua ulisimamishwa au alifanya kampeni?Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Uchaguzi 2020 - Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa Chadema Tundu Lissu ili awasalimie
Hilo swali ni gumu sana ulilo muuliza maana uwezo wake ni kwenye kusifu na kuabudu
Huyu mgombea ni MCHOKOZI anataka kuwachokoza Polisi wamshughulikie. Anafanya hivyo kwa kisingizio kuwa "mbona Rais Magufuli anafanaya hivyo?". Huyu ni mchokozi na katumwa na vibaraka wake ili kutaka kuharibu KUSHINDWA KWAKE kwenye uchaguzi ujao. Tunamwambia yeye akijua hivi wengine wanajua vile. Halafu hiyo mikataba aliyoingia na hao mabeberu ya kuwapa madini na utajiri wa nchi hii akipata urais ASAHAU, atajua mwenyewe namna atakavyo walipa hizo pesa walizompa kwa ajili ya kampeni na uchaguzi mkuu 2020.
Najisikia very fine and OK!Unajisikiaje kuandika kitu kama ulikuwa belgij
Mwanawane tulia hivyo hivyo dawa ikuingie sawasawa au unataka kupanuliwa wapi? Ulitaka apitilize bila kuwasalimia wananchi? Na hapa Shinyanga kumefurika, kesho asubuhi wananchi kama wote watakuwa hawaendi kazini!Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.