johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,012
- 142,044
Kadiri siku zinavyokwenda ndiyo unazidi kushuka kiwango, kweli wewe wa kuweka bandiko la kiwango cha jingalao au bia yetu? So sad.Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka...
Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka...
Magufuli & ccm mpya hawana unasaba wowote na Nyerere! Pengine kwenye matumizi tuu ya rangi ya kijani aliyo iasisi Nyerere! Kwenye falsafa zao za siasa, demokrasia, diplomasia hakuna huo unasaba!Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka.
Akiwa mkoani Mara Tundu Lissu aliforce hadi akalala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere huku luninga zikimfatilia.
Simlaumu Tundu Lissu kwa sababu sijui kilichomsibu akiwa Arusha lakini namkumbusha tu wakati mwingine asirudie kosa hili la kiufundi.
Nawatakia Watanzania uchaguzi wenye baraka.
Ukimkubali Nyerere utampigia kura Dr Magufuli.
Maendeleo hayana vyama!
Hujiulizi Kwanini Mbowe amemsusia chama ?
Chadema ya lissu imejaa washamba
Tahira la Lumumba katika utahira wakoHujiulizi Kwanini Mbowe amemsusia chama ?
Chadema ya lissu imejaa washamba
Sasa Kaka yangu bia yetu, ulitaka Mbowe aliache jimbo lake?
Mbona kwa JPM hatumuoni Mwigulu, au nape, au January,?
Lissu yule hajakamilika, anajitaji mtu kama Mbowe kumtengenezea personality
Ukifuatilia hotubs nyingi za lissu zimejaa matusi Kwasababu anakuwa hana mpangilio
Mkuu, na wewe umeishiwa hivi? kweli ?Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka.
Akiwa mkoani Mara Tundu Lissu aliforce hadi akalala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere huku luninga zikimfatilia.
Simlaumu Tundu Lissu kwa sababu sijui kilichomsibu akiwa Arusha lakini namkumbusha tu wakati mwingine asirudie kosa hili la kiufundi.
Nawatakia Watanzania uchaguzi wenye baraka.
Ukimkubali Nyerere utampigia kura Dr Magufuli.
Maendeleo hayana vyama!