Kitendo cha Membe kutomjibu Bashe ni hekima na busara au kapuuza?


K

kwitega

Senior Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
166
Points
0
K

kwitega

Senior Member
Joined Apr 10, 2012
166 0
Hivi karibuni, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM na Baraza Kuu la vijana Hussein Bashe alizungumza na waandishi wa habari na kumshambulia Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe kuwa ni mnafiki, asiyefaa hata kwa ubalozi wa nyumba kumi na akaapa kupiga kampeni ili Waziri huyo asichaguliwe kuwa Mjumbe wa NEC kupitia kapu. Hata hivyo jitihada za kutaka Membe asichaguliwe, zilishindwa kwani alishinda japo Bashe alijitokeza na kubeza ushindi huo kuwa ni mdogo na kazidiwa na makada vijana ikiwa ni pamoja na Januari Makamba.

Kisha akabainisha kuwa anamuunga mkono Edward Lowassa anayetajwa kuwania urais 2015 kupitia chama hicho. Wengi tulitarajia kumuona Membe akiibuka kumjibu Bashe lakini siku zinaenda, hatuoni Membe akifanya hivyo. Sasa nauliza, je ukimya wa Membe;


1. Unaonyesha kuwa kampuuza Bashe na maneno yake?

2. Unaonyesha busara na hekima?

3. Unaonyesha uvumilivu?

4. Kamuogopa Bashe?
 
O

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Messages
10,946
Points
1,225
O

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined May 24, 2008
10,946 1,225
Ajibu nini wakati ni kweli membe ni mnafiki,mtu wa majungu,ni kweli anabebwa na familia ya ikulu,hana uwezo wa kuwa rais,.ogopa mtu wa majungu na mpenda fitina ni muuwaji kuliko mchawi.
 
Albedo

Albedo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Messages
5,562
Points
1,195
Albedo

Albedo

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2008
5,562 1,195
Ni Sawasawa tu na Lowasa kuwapuuza akina Makonda je

1. Unaonyesha kuwa kampuuza Makonda na Nape kwa maneno yao?

2. Unaonyesha busara na hekima?

3. Unaonyesha uvumilivu?

4. Kamuogopa Makonda na Nape?
 
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
3,539
Points
2,000
Age
39
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
3,539 2,000
Kamuogopa bashe ni jembe!
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
60,016
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
60,016 2,000
Taarifa si zinasema kesho anatinga mahakamani !
 
K

K.Msese

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
1,552
Points
1,500
K

K.Msese

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
1,552 1,500
Kupuuza + Kimya + Uvumilivu = Busara na Hekima
 
Mwamba Usemao Kweli

Mwamba Usemao Kweli

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
745
Points
225
Age
99
Mwamba Usemao Kweli

Mwamba Usemao Kweli

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
745 225
Nyoka wa ndimi mbili kazini endeleeni kuuma chamani na serikalini kama ilivyo ada...teeeeh....
 
C

chikakatata

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
220
Points
0
Age
46
C

chikakatata

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2012
220 0
nadhani hajampuuza, anampeleka mahakamani kwa mujibu wa kimemo chake kwenda kwa swahiba wake na aliyekuwa kampeni meneja wake kwenye uchaguzi ule, mbunge wa Nzega, Dkt. hamis Kigwangala kama kinavyosomeka kwenye post nyingine hapa JF
 

Forum statistics

Threads 1,294,412
Members 497,915
Posts 31,175,122
Top