Kitendo cha kurudia kuhesabu masanduku

Kiwia kura hazikurudiwa yeye alilizwa tu mapema, na wenje ndiye aliyeomba kura zirudiwe kuhesabiwa, fikiria kashindwa kata 14 kaambulia kata 4, kimsingi wenje ndio kamchakachua mabula. Haiwezekani ushinde kata nne tu halafu upate kura nyingi kiasi hicho!!!
 
Hiv zile kura za mara ya kwanza na wakirudia kuhesabu idadi itakuwa ni ileile? Kama wamechakachua lazima ziwe tofauti kama vip wakate rufaa.
 
Vicent nyerere asitafute mchawi, kwanza mathayo hakupiga kampeni kabisa alijua hawezi kumshinda vicent.

Maungo yake wananchi wamempuuza hata ccm wangeweka jiwe lingeshinda.
 
Wewe una matatizo. Kama wameshachokwa kwa nini hamkushinda kwenye first round mpaka kusubiri kurudia kuhesabu.

Kiazi kweli wewe. Hujui kama Wenje ndiye aliyekuwa anapinga matokeo na kutaka kura zirudiwe kuhesabiwa zaidi ya mara tatu? After all kurudia kuhesabu kura ni haki ya kisheria kwa mgombea ambaye hajaridhika.

Baada ya matokeo kutangazwa alihojiwa mmojawapo wa wagombea wa UKAWA kwa tiketi ya CUF. Alikiri wazi kuwa mchakato ulikuwa huru na wa haki, na wote wamekubaliana na matokeo isipokuwa "mgombea mmoja" ambaye alitaka ashinde yeye tu. Huyu alisababisha kura kuhesabiwa mara tatu lakini hakukubali matokeo bado. Source Star TV.

Tatizo la UKAWA mnaendeshwa na propaganda na kuzisadiki. Itachukua karne nyingi sana kushika dola kama mnavutiwa na utapeli wa kisiasa namna hii.
 
Kiwia kura hazikurudiwa yeye alilizwa tu mapema, na wenje ndiye aliyeomba kura zirudiwe kuhesabiwa, fikiria kashindwa kata 14 kaambulia kata 4, kimsingi wenje ndio kamchakachua mabula. Haiwezekani ushinde kata nne tu halafu upate kura nyingi kiasi hicho!!!

Acha ujuha sio wote wanaopga udiwani wanapga na ubunge na inategemea na kata wanashinda kwa idadi gani ya kura unaweza wew ukawa unashinda kwa kura 5 5 kila kata mwenzio kata moja anakupga 200 sawa na kata 10 ulizoshinda...na mbona magufuli kashinda hadi yale maeneo ambayo ubunge kachukua ukawa kama newala
 
Hiki kitu ndicho kilikuwa Goli la mkono la CCM, ukiambiwa kura zirudiwe kuhesabu tu basi imekula kwako, CCM siku zenu zinahesabika.

Hii ilianza kwa Lembeli Kaham, imeenda kwa Kiwia Ilemela, imeenda kwa Wenye Nyamagana, Jimbo la kyela Mwamanyaki alimshinda Mwakyembe waliporudia kuhesabu mwamayaki ikiala kwake, Jimbo la Rungwe Mwambigija naye alishashinda, wakalazimisha kurudia kuhesabu alipokubari , ikala kwake Amoni wa ccm akashinda Daa, walitaka kuitumia kwa Mdee Mdee Kagoma, walitaka kuitumia kwa J.Haule Mikumi , akagoma .

Hii tekiniki ya CCM , ndiyo ilikuwa Goli la mkono.

kafulila Mpaka muda huu ameshinda, lakini analazimishwa akubari Kura kuhesabiwa upya anakataa- Ameshastukia mchezo.
Goli la mkono ni sera safi na sio kuiba kura,mimi ni mwenyeji wa Kyela,nakuambia Mwanyamaki asingeweza kuchukua jimbo kwa kutegemea boda boda wa Ipinda,Border na kyela mjini lakini walisahau kuwa vijijini CCM imeota mizizi.Mwanyamaki alijidanganya na mafuriko hewa kutoka Mwanjelwa na kelele za kwenye mabasi ya Kyela-Mbeya-Kyela.
 
Hata waliokubali kuhesabu tena hawakuwa makini

Umakini upi wakati masanduku ya kura yanapelekwa na watu wengine na wewe uko gari nyingine!! Kama mimi sikubali! Wanaambiwa CCM leteni karatasi (fomu) zenu toka kwenye vituo vya kupigia kura wanazengua!!
 
Kwanza Tume ilikwishasema uchaguzi huu hakuna biashara ya kuhamisha mabox ya kura bali yatabakia vituoni na kinachofanya movement ni fomu zilizojazwa kituoni na bahasha ya kura chache kama zitakuwepo ambazo zinaonekana kuzidi au kubishaniwa kwa namna moja au nyingine au labda kuna kitu sikuwa nimeelewa vizuri?

Uko sahihi kabisa sema hawa wagombe na vyama vyao huwa hawapeani taarifa!!!! Hata mimi hata kama hawajasema tume sikubali huo ujinga wa miaka ya 47! CCM hutumia pia mauzauza wakati wa kuhesabu upya!!
 
Ukawa kweli ni sheedah,kila siku visingizio pamoja na kiongozi wenu na kutumia peni zenu lakini waya/hola.Mtalilia sana mwaka huu ,mara oh system mara oh kunja karatasi hivi ,swali la kujiuliza je hao walioshinda kupitia Ukawa wao ndio walikuwa na mbinu za kuzuia bao la mkono,bao la mkono ni sera kwa wananchi na kukubalika kwa wengi,bao la mkono ni fursa ya kutumia karata maarrufu iliyotumia CCM kupinga UFISADI,Ukawa badala ya kuhubiri sera mkabaki na akina Kingunge/Sumaye kumsafisha asiyesafishika,kila siku mlikuwa manlia lia kuwa demokrasia imekufa huko CCM,mlipigwa bao la mkono la UFISADI,majuto mjukuu
 
Hiki kitu ndicho kilikuwa Goli la mkono la CCM, ukiambiwa kura zirudiwe kuhesabu tu basi imekula kwako, CCM siku zenu zinahesabika.

Hii ilianza kwa Lembeli Kaham, imeenda kwa Kiwia Ilemela, imeenda kwa Wenye Nyamagana, Jimbo la kyela Mwamanyaki alimshinda Mwakyembe waliporudia kuhesabu mwamayaki ikiala kwake, Jimbo la Rungwe Mwambigija naye alishashinda, wakalazimisha kurudia kuhesabu alipokubari , ikala kwake Amoni wa ccm akashinda Daa, walitaka kuitumia kwa Mdee Mdee Kagoma, walitaka kuitumia kwa J.Haule Mikumi , akagoma .

Hii tekiniki ya CCM , ndiyo ilikuwa Goli la mkono.

kafulila Mpaka muda huu ameshinda, lakini analazimishwa akubari Kura kuhesabiwa upya anakataa- Ameshastukia mchezo.

Basi UKAWA ni mburula sana kama wanajua hiyo technique kwa nini hawakuwa elimisha wagombea before battle this is very sad, tumepoteza wapambanaji kizembe, just kuwa sensatize wagombea waliona watapoteza muda????
Kurudi mwakyembe ni janga
 
Kwanza Tume ilikwishasema uchaguzi huu hakuna biashara ya kuhamisha mabox ya kura bali yatabakia vituoni na kinachofanya movement ni fomu zilizojazwa kituoni na bahasha ya kura chache kama zitakuwepo ambazo zinaonekana kuzidi au kubishaniwa kwa namna moja au nyingine au labda kuna kitu sikuwa nimeelewa vizuri?
Blackbold: Sisi tulipigia chini ya mti....! Unataka kusema mabokisi yalitakiwa yakae pale mpaka muda huu,....! ? kwa ulinzi wa nani?
 
when one door is closed the other one is open wameshinda kwa technics mahakama zipo zitachambua moja hadi mwisho kipengele kwa kipengele hadi kieleweke makamanda hakuna kukata tamaa wenje ,kiwia nafasi bado zipo za kupambana
 
Hiki kitu ndicho kilikuwa Goli la mkono la CCM, ukiambiwa kura zirudiwe kuhesabu tu basi imekula kwako, CCM siku zenu zinahesabika.

Hii ilianza kwa Lembeli Kaham, imeenda kwa Kiwia Ilemela, imeenda kwa Wenye Nyamagana, Jimbo la kyela Mwamanyaki alimshinda Mwakyembe waliporudia kuhesabu mwamayaki ikiala kwake, Jimbo la Rungwe Mwambigija naye alishashinda, wakalazimisha kurudia kuhesabu alipokubari , ikala kwake Amoni wa ccm akashinda Daa, walitaka kuitumia kwa Mdee Mdee Kagoma, walitaka kuitumia kwa J.Haule Mikumi , akagoma .

Hii tekiniki ya CCM , ndiyo ilikuwa Goli la mkono.

kafulila Mpaka muda huu ameshinda, lakini analazimishwa akubari Kura kuhesabiwa upya anakataa- Ameshastukia mchezo.

Hao waliokuwa wanakubali matokeo yarudiwe kuhesabiwa walikuwa wanafanya hivyo kwa idhini ya vyama vyao au wao wenyewe?
 
Hii technique inajulikana, Mimi Nashangaa wao kukubali kurudia kuhesabu kura, hata mdau mmoja alishaieleza hapa!
 
Back
Top Bottom