Kitendawili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitendawili

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Magulumangu, Feb 26, 2010.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jamani nina kitendawili, katika mahakama moja watu watatu walienda, wawili walikuwa wanamlalamikia mmoja kuwa kila waendapo mahali yule jamaa anaingia peke yao na kuwaacha nje wakimsubiri so walitaka hakimu amwambie jamaa kama vipi waingie wote...jamana akaskuti na kutoa jibu la kwamba yeye sio kwamba hataki wote waingie lkn kule aendako kunanuka sana so ili uende lazima uwe na mdomo maana razima utapike....jamani nitegulkieni hiccho kitendawili ni nani hao jamaa??
   
 2. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Kama wewe ni dume hao jamaa unao hapo kati
   
 3. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #3
  Feb 26, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mmh kitendawili kigumu,mi naona tukupe mji.
   
 4. senator

  senator JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  mdau uko sawa kabisa!!
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,851
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145

  ugumu wake ni nini??? Au uko under 14???.........jibu liko wazi kabisa :d:d:d
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...