Kitendawili.................

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,450
Reaction score
1,753
Ni 1% tu ya wanawake wote duniani wameshawahi ku experience hii kitu..........................

Mwenye jibu toa
 
Ni 1% tu ya wanawake wote duniani wameshawahi ku experience hii kitu..........................

Mwenye jibu toa KUDANGANYWA!
 
Mi ngoja nikupe mji ili utoe jibu maana sina muda wa kufikiria.... Nenda Mwanza..!
 
kutopitiwa mbavuni na waume/boyfrend zao
 
Ulifanya utafiti lini na wapi na kwa wanawake wa ngapi na wa umri gani kama siyo kamba? Jibu ni miyeyusho tu.
 
Ni 1% tu ya wanawake wote duniani wameshawahi ku experience hii kitu..........................

Mwenye jibu toa

Dah.. inaonekana umeiwazia sana... make muda uliyopost utata mtupu!!! Haya jibu la ni KUFIKISHWA KILELENI... haya nipeane zawadi yangu!!!
 
Dah.. inaonekana umeiwazia sana... make muda uliyopost utata mtupu!!! Haya jibu la ni KUFIKISHWA KILELENI... haya nipeane zawadi yangu!!!

Kuna kufikishwa kileleni kwa aina 2 , ipi hito unayo refer to.


Nilikosa usingizi kabisa, sijalala mpaka che hapa nilipo niko job alafu ndo usingizi nausikia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…