K Kyachakiche JF-Expert Member Joined Feb 16, 2009 Posts 986 Reaction score 211 May 29, 2009 #21 Jamani kitendawili hiki kilikwishateguliwa? Kama jibu ni "Ndiyo" nipeni hilo jibu, na kama jibu ni "hapana" naombeni jibu tafadhali.
Jamani kitendawili hiki kilikwishateguliwa? Kama jibu ni "Ndiyo" nipeni hilo jibu, na kama jibu ni "hapana" naombeni jibu tafadhali.
J Jibaba Bonge JF-Expert Member Joined May 6, 2008 Posts 1,246 Reaction score 404 May 29, 2009 #22 Mwanakijiji bwana tupe jibu. Basi tukupe ikulu kama hutaki mji uliopewa
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 34,240 Reaction score 44,487 May 29, 2009 Thread starter #23 Jibu la kitendawili chenyewe nimeshasahau.. itabidi na mimi nifikirie tena..!!