Kitendawili ?Tega nikutege ?Mwiba huyu ni mdudu anaitwa jina gani?

Mkuu ni aina fulani ya nzi pori jina silijui ila wanakaa sana mpori na ukitaka kumwona wee jisaidie haja kubwa msituni hapo hapo anatokea na vilevile kuna jamii ingine kama huyohuyo ila wao wanakuwaga na rangi ya blue kwa migongoni
 
..."insect" kama sijakosea, nilisikia wanamuita hivyo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…