Mkuu ni aina fulani ya nzi pori jina silijui ila wanakaa sana mpori na ukitaka kumwona wee jisaidie haja kubwa msituni hapo hapo anatokea na vilevile kuna jamii ingine kama huyohuyo ila wao wanakuwaga na rangi ya blue kwa migongoni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.