Kitendawili kilichonishinda!

Wewe ndio unawaogopa. Tulikuwa na wanawake wenye vipato ila hawaishi kutangaza shida. Usijejiroga ukadhani mwanamke mwenye kipato hanashida, bado hujakua basi. Ila mwisho wa yote, no one has authority over anybody.
Uliza wakubwa wako watakuambia tatizo lenu vijana mnataka mteremko na kulelewa na wanawake
Asilimia kubwa ya wanawake wanadharau, na hawana utii kwa mwanaume huo ndo ukweli
 
Mtoto WA kiume usipende kulelewa na wanawake utakuja liwa tigo hivi hivi
 
Uliza wakubwa wako watakuambia tatizo lenu vijana mnataka mteremko na kulelewa na wanawake
Asilimia kubwa ya wanawake wanadharau, na hawana utii kwa mwanaume huo ndo ukweli
Nani kasema mimi mdogo😂😂😂. Acha kukariri, mteremko🤣🤣🤣. Umuweke kupe ndani ya maisha yako ndio unajinasibu kuwa ndio uwanaume. Haya kapande wewe mlima Kilimanjaro sasa😂😂😂. Maisha yangu yanathamani sana, pesa hatanipate kiasi gani ila kutoa hata tone kwaajili ya starehe au kumfurahisha mtu baki ni kosa ambalo sirudii tena. I got my money so find your own.
 
Mtoto WA kiume usipende kulelewa na wanawake utakuja liwa tigo hivi hivi
ukaamua na kunitukana😂😂😂, sio mbaya. Mwanamke anilee mimi atafikia kweli bajeti yangu ya maisha🤣🤣🤣. Maana hata achange mshahara wa miezi mitatu bado hataweza fikia bajeti yangu. Bro, jifunze kujibu hoja kwa hoja, matusi siakili na niudhaifu.
 
Subiri nikufundishe mim siwez kukuzudi kipato alafu wewe niliyekuzudi ndo ukawa na authority juu yangu, maisha hayako hivo aliyekua na kukuzid ela ndo ana nguvu juu yako, familia nyingi mwanamke akimzid kipato mwanaume mda sio mrefu familia inavunjika ni tofauti na mwanaume akimzidi kipato mwanamke

Alafu unashindwa kitofautisha kumiliki mwanamke na kugonga mwanamke, Uzi unaongelea kumiliki mwanamke na sio kufanya nae mapenzi na kuachana naye
 
Kwani mim nimekuuliza budget yako inanihusu nin au inamsaada gani kwangu, na sijakutukana Ila nimekuambia ukweli usipende kulelewa au vya bure we ni mtoto WA kiume kuwa responsible
 
nawewe nakwambia, tumia akili. Mtu hamilikiwi labda enzi za ukoloni. Ummiliki kwani umeshikilia uhai wake😂😂😂. Finances ni sehemu tu ya maisha ya mwanadamu, aisee acha kukariri. Yaani kumzidi mwanamke pesa, haimaanishi utammiliki, kwani umemzuia kuishi. Kama nihivyo ndoa zisingekuwa na mtafaruku hivi, maana pesa watu wanazo tena nyingi tu. Hujamuumba, acha kukariri
 
Utoto na fantasy life inakusumbua sana Ila ukikua utaelewa
 
Kwani mim nimekuuliza budget yako inanihusu nin au inamsaada gani kwangu, na sijakutukana Ila nimekuambia ukweli usipende kulelewa au vya bure we ni mtoto WA kiume kuwa responsible
Sasa kwa akili yako ulijuaje kama atanilea kama hukufikiria budget yangu, lasivyo uwe hunamaarifa unatumia hisia. Unajua responsibilities ndugu😂😂😂, responsibilities are to my wife, family and parents. Starehe zako uziite responsibilities😂😂😂
 
Utoto na fantasy life inakusumbua sana Ila ukikua utaelewa

Nimegundua wewe ni mtoto ulipoanza kuntaambia kwamba una budget kubwa unayotumia nikagundua wewe ni mtoto

Dhana ya kumtolea mwanamke mahari maana yake nammliki au Nina authority juu yake Sasa na hili hulijui nikagundua wewe ni mtoto na napoteza mda
 
Ukipenda wanawake wenye hela means hautaki kuwa responsible as a man unataka miteremko au vitonga ndo tatizo kubwa linawasumbua vijana wa dar es salaam
 
Hebu fikiria unadate na mwanamke ambaye ukitaka kuonana naye hana hata nauli ya kuja.
 
Utoto na fantasy life inakusumbua sana Ila ukikua utaelewa
Nani anatumia fantasy hapo😂😂😂, eti ninammiliki huyu kwasababu pesa zipo nyingi. Utakufa vibaya ndugu. Mtoto ndio anafikiria kuwa na pesa ndio atapata na kumiliki vyote🤣🤣
 
Asante kwa kunisaidia mkuu [emoji28]maana watu walikuwa wanajibu maswali ya mtihani bila kujua hata kimeandikwa nini!,naona watu tu wanakazania mke mke mke [emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…