Jana kwenye mchuano wa wagombea ubunge Igunga vurugu za malumbano ziliibuka na hivyo kusababisha kutokusikilizana, lakini kumbe vurugu hizo zilikuwa zinatokea eneo ambalo walikuwa wamekaa wabunge wa CCM, ndipo hapo Naibu katibu mkuu wa CDM, Zitto Kabwe alichukua hatua ya ziada na kupenya katikati ya wafuasi wa CCM na kumchomoa Mb. wa Tabora mjini Mhe. Ismail Aden Rage kisha kumpeleka walipokuwa wamekaa viongozi wenzake...... inasema sehemu ya habari iliyoandikwa kwenye gazeti la leo la MTANZANIA.
Kwa kitendo hiki, kile kitendawili cha wabunge gani wanaosababisha vurugu kati ya wale wa CCM na CHADEMA kimeteguliwa
Huyu jamaa ana asili ya Somalia aka Al Shabab. Mwogopeni kama ukoma, atawafanya kitu mbaya wakato wowote ule.Huyu anachoringia ni hicho hapo kiunoni.
View attachment 37913
mkuu jifunze kuongea taratibu na si kwa kupayuka, unatupigia keleleADEN RAGE YEYE SIASA WAPINAWAPI? MIMI NASEMA UKITAKA KUFUATILIA HATA HISTORIA YAKE SHULE YA MSINGI NAHISI MUTAGUNDUA MENGI SANA, NA SI YEYE TUU, WABUNGE KARIBU WOTE WA CCM, NDIVYO WALIVYO, HATA MAWAZIRI, HAYA WANAYO YAFANYA KATIKA KUILISHA HASARA SELIKALI SI MAKUSUDI UWEZO WENYEWE WA KUIENDESHA NA KUIONGOZA SELIKALI HAKUNA WAKO MBUKWAAA KIUONGOZI,, SASA KAMA SHERIA ANAIJUA BASTOLA KIUNONI INAFUATANINI,, tANZANIA KUNA AMANI VYOMBO VYA MOTO VYA KAZI GANI?
ADEN RAGE YEYE SIASA WAPINAWAPI? MIMI NASEMA UKITAKA KUFUATILIA HATA HISTORIA YAKE SHULE YA MSINGI NAHISI MUTAGUNDUA MENGI SANA, NA SI YEYE TUU, WABUNGE KARIBU WOTE WA CCM, NDIVYO WALIVYO, HATA MAWAZIRI, HAYA WANAYO YAFANYA KATIKA KUILISHA HASARA SELIKALI SI MAKUSUDI UWEZO WENYEWE WA KUIENDESHA NA KUIONGOZA SELIKALI HAKUNA WAKO MBUKWAAA KIUONGOZI,, SASA KAMA SHERIA ANAIJUA BASTOLA KIUNONI INAFUATANINI,, tANZANIA KUNA AMANI VYOMBO VYA MOTO VYA KAZI GANI?
Nani sasa mwenye vurugu huyu aliyetoka na kwenda kumchomoa mwenzake au aliyechomolewa?
mkuu jifunze kuongea taratibu na si kwa kupayuka, unatupigia kelele
mkuu jifunze kuongea taratibu na si kwa kupayuka, unatupigia kelele
Wewe ndio mpayukaji kwani maandishi yake yana sauti?
Alikuwa anajilinda asije akamwagiwa tindikali. Kazi ya silaha ni kujilinda mwenyewe na mali zako au kuwindia. Hapa ni wazi kabisa alikuwa anajilinda. Pia kuna jambo moja la kushangaza: Ukiwa na silaha hutakiwi kuiacha popote. Rage asingeweza kuiacha silaha guset kwa kuwa ikiibwa ingekuwa msala kwake hivyo ni vyema ukatembea nayo. Tatizo liko wapi?
Watu kibao wanakufa ilihali wanavyo kiunoni?Huyu anachoringia ni hicho hapo kiunoni.
View attachment 37913
Yeah nami sijaona hasa nani sasa mwenye vurugu ama al shabab rage pale alipokuwa amekaa ndio ilimaanisha vurugu? na huyu aliyeenda kumchomoa maana yake ilikuwa nn
mkuu jifunze kuongea taratibu na si kwa kupayuka, unatupigia kelele