J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 37,975 Reaction score 72,013 Oct 24, 2016 #21 HEKIMA KWANZA said: Hali ikoje sasa? cc JokaKuu Click to expand... ..hapo sitii neno ndugu yangu. ..watadai tunafuata diplomasia ya uchumi. ..sasa tuna tofauti gani na Wakenya ambao walikuwa wanashirikiana na makaburu wa Afrika Kusini?
HEKIMA KWANZA said: Hali ikoje sasa? cc JokaKuu Click to expand... ..hapo sitii neno ndugu yangu. ..watadai tunafuata diplomasia ya uchumi. ..sasa tuna tofauti gani na Wakenya ambao walikuwa wanashirikiana na makaburu wa Afrika Kusini?