Kitenda wili huyu Panya atumie namba gani kuweza kufikia keki?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Je huyu panya atumie namba ipi kati ya hizo namba 1,2,3. Ili aweze kufkia keki?.@Boflo Mkuu.@Mbuzi Mzee na Wengine wakuu? Kisieni hapo.................

403269_473764195988356_762278173_n.jpg
 
Swali langu Jingine Mtoto huyu anataka kwenda shule atumie namba ipi kati ya hizi 1,2,3. Ili aweze kufika shule mapema? mkuu TAUNO

582619_468617299836379_444237897_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom