Mkuu, Weka list ya bei na jinsi gani rahisi ya kufika.
Mkuu Karatu kuna Lodge za haja ushafanukiwa kufika kudu Lodge?Na ninachopends Lodge karibia zote zinamilikiwa na wazawaMkuu nimeshafika hapo nadhani hiyo lodge inamilikiwa na Kaburu chokoraa wa zamani wa mitaa ya Sanawari siku hizi ni tajiri wa haja anazo camps kibao kuanzia Serengeti,Manyara,Tarangire na Ngorongoro bila kusahau Kibo Guides Safaris.
Nice Bei Zao?
Mkuu Karatu kuna Lodge za haja ushafanukiwa kufika kudu Lodge?Na ninachopends Lodge karibia zote zinamilikiwa na wazawa
Mkuu nimeshafika hapo nadhani hiyo lodge inamilikiwa na Kaburu chokoraa wa zamani wa mitaa ya Sanawari siku hizi ni tajiri wa haja anazo camps kibao kuanzia Serengeti,Manyara,Tarangire na Ngorongoro bila kusahau Kibo Guides Safaris.
Yule Kaburu wa Kibo right?? Si yule mu-Boss anaerekebisha gari yake mwenyewe.
Ni kirenga mbaya