Big dady 11
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 278
- 279
yaaan elf 17 za kitanzania au umesahau kuweka sifuri nyumaSet nzima anauza tshs 17000
Hata mim ndo nashangaa..yaaan elf 17 za kitanzania au umesahau kuweka sifuri nyuma
Watanzania wanapenda neno KISASA.Utasikia kajenga nyumba ya kisasa wakati tech ni ile ile cement na mchanga na nondo. Au ya kisasa wanamaanisha mpya?Unasema za kisasa bado unaweka pull door handle?π
ππUnauza bure?
Itakua wanasimamia hapo kwenye upya.π€£Watanzania wanapenda neno KISASA.Utasikia kajenga nyumba ya kisasa wakati tech ni ile ile cement na mchanga na nondo. Au ya kisasa wanamaanisha mpya?
Ni hizo nylons ulizoweka ndizo zinafanya uuze 17Mil au??kitchen cabinets za kisasa kwa bei chee..
maboss zangu ata ukiwa bado ujahamia tutakutengenezea kisha kuvifunga lailon ili kuzuia vumbi na michubuko ad utapako hamia unakuta kitchen cabinet yako bado mpyaaaaaa inang'aaπ₯π₯..
gharama inategemea na ukubwa wa sehem yako ya kabati pia Aina ya material yatakayotumika boss..
karibuni sana tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz..
0692477610
Angeweka cabinet handles za aina gani ili iwe ya kisasa?Unasema za kisasa bado unaweka pull door handle?π