Mkuu Mshana Jr, usiwe na wasiwasi kabisa kuhusu hii kitchen cabinet yetu, sio tu ni halali kabisa kikatiba na kisheria, bali pia ina legitimacy ya kuchaguliwa na Watanzania by proxy ile 2020 kwa sababu kila kura iliyomchagua yule mpishi Mkuu ile 2020 pia ilimchagua na mpishi msaidizi!. Hoja hii nimeiendeshea darasa. Ijue Katiba: Je Wajua Kila Kura Iliyomchagua JPM Pia Ilimchagua Samia?. Is it Right Kusema Rais Samia Hakuchaguliwa?, Basi 2025 Tumchague?.Kitchen cabinet inayopigiwa kelele kwa kila aina ya ubaya na uchafu sijui iko halali kiasi gani kisheria.
Yes hii ni kweli himaya inaweza kuanguka 2025, ila mchezo wa siasa ni scientific game, sio mchezo wa kombolela, au bahati nasibu kama sadakalawe au kolokolo, mchezo huu unafuata scientific principles, ili himaya moja kuanguka lazima kwanza kuwe na himaya nyingine yenye nguvu zaidi za kuiangusha himaya iliyopo na kuichukua nafasi yake, but its very unfortunately kwa himaya yetu hii, hakuna himaya mbadala to replace it, hivyo 2025 himaya inaendelea, labda 2030!. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!Lakini kutokana na mazonge yake inaweza kuwa ndio chetezo cha anguko la himaya 2025.
Pia hapa nakubaliana kabisa na wewe kuwa uturi wake haunukii tena bali unatoa harufu kali ya uvundo unukao sana na Wanahimaya sio tuu wamechoshwa na harufu mbaya bali walichoshwa siku nyingi, ila mwili wa binadamu ni mwili wa ajabu, mtu ukikaa mahali kwenye harufu mbaya ya uvundo kwa muda mrefu, pua zako zinazoea na unakuwa huisikii tena hii harufu ya uvundo. Hivyo Wanahimaya wameisha zoea, na 2025 mwendo ni ule ule mwendo mdundo wa Unachukua...Kwakuwa uturi wake haunukii tena bali unatoa harufu kali ya uvundo unukao sana na Wanahimaya wamechoshwa na harufu mbaya
Basi ni ishara nyingine ya ubovu wa Katiba na Sheria zetu.Hii kitchen cabinet yetu, ni halali kabisa kikatiba na kisheria
Mna maneno mengi sana yasiyo na Tija badala mjadili anguko na Kushindwa Kwa maandamano uchwara Mko busy na Dua la kuku 😆😆Himaya huinuliwa na watu na himaya huangushwa na kupitia..
Ni kwa kupitia maono, mahitaji ya nyakati na kikomo cha muda.. Utawala husimama ama huanguka
Watu kama viumbehai vyenye utashi ni mtaji mkubwa sana kwenye himaya yoyote ile.. Watu hao hugawanyika katika makundi kadhaa
Wabeba maono/waongoza njia
Wasaidizi wao
Watendaji wakuu
Watendaji wa kati
Watendaji wa chini
Wanahimaya waongozwaji.. Watawaliwa..!
Hili kundi la mwisho ndio kundi msingi lenye mrejesho halisi toka kwa makundi mengine yote! Mrejesho hasi ama chanya!
Kuna kitu kipya kimeibuka sasa kunaitwa kitchen cabinet.. Unaweza kutafsiri kama kabati la jikoni ama baraza la jikoni nknk..
Jiko ndani ya nyumba ni muhimu sana maana ndipo kilipo chanzo cha shibe na nishati ya himaya ya mwili...
Waswahel wanasema nyumba ni choo.. Kwakuwa ni rahisi kutunza kilichoko jikoni(kiingiacho) kuliko kitokacho
Meko njema hustawisha afya na uhai wa wana familia ndani ya kaya! Meko mbovu ni sumu na anguko la kaya ndani ya familia
Kitchen cabinet inayopigiwa kelele kwa kila aina ya ubaya na uchafu sijui iko halali kiasi gani kisheria.. Lakini kutokana na mazonge yake inaweza kuwa ndio chetezo cha anguko la himaya 2025.. Kwakuwa uturi wake haunukii tena bali unatoa harufu kali ya uvundo unukao sana na Wanahimaya wamechoshwa na harufu mbaya
Sasa Nyie wachawi na waganga kwanini hamuwalogi hawa wasiojulikana wanatutesa? Samahani kama niko nje ya madaHimaya huinuliwa na watu na himaya huangushwa na kupitia..
Ni kwa kupitia maono, mahitaji ya nyakati na kikomo cha muda.. Utawala husimama ama huanguka
Watu kama viumbehai vyenye utashi ni mtaji mkubwa sana kwenye himaya yoyote ile.. Watu hao hugawanyika katika makundi kadhaa
Wabeba maono/waongoza njia
Wasaidizi wao
Watendaji wakuu
Watendaji wa kati
Watendaji wa chini
Wanahimaya waongozwaji.. Watawaliwa..!
Hili kundi la mwisho ndio kundi msingi lenye mrejesho halisi toka kwa makundi mengine yote! Mrejesho hasi ama chanya!
Kuna kitu kipya kimeibuka sasa kunaitwa kitchen cabinet.. Unaweza kutafsiri kama kabati la jikoni ama baraza la jikoni nknk..
Jiko ndani ya nyumba ni muhimu sana maana ndipo kilipo chanzo cha shibe na nishati ya himaya ya mwili...
Waswahel wanasema nyumba ni choo.. Kwakuwa ni rahisi kutunza kilichoko jikoni(kiingiacho) kuliko kitokacho
Meko njema hustawisha afya na uhai wa wana familia ndani ya kaya! Meko mbovu ni sumu na anguko la kaya ndani ya familia
Kitchen cabinet inayopigiwa kelele kwa kila aina ya ubaya na uchafu sijui iko halali kiasi gani kisheria.. Lakini kutokana na mazonge yake inaweza kuwa ndio chetezo cha anguko la himaya 2025.. Kwakuwa uturi wake haunukii tena bali unatoa harufu kali ya uvundo unukao sana na Wanahimaya wamechoshwa na harufu mbaya
Nini tena jamani?Mimi nafikiri badala ya kulalamikia KC tungepaswa kushangaa idara zetu kushindwa ushawishi hadi dada yetu Maria asaidie kupiga kelele.
Ipo siku maelekezo yatatokea kwa jirani na tutaishia kulalamikia mitandaoni kama watu walioshiwa mbinu.
Uteuzi upi?, wa 2020 au 2025?Thanks brother for clarification 🙏🏿🙏🏿🙏🏿 .. Je uteuzi wake unwanted na nani na kwa vigezo gani?
Leta mjadala tutajadili acha POROJO.Ni hatari sana porojo zinapogeuzwa mijadala!
NiNi hatari sana porojo zinapogeuzwa mijadala!
Ukiona gari ni kubwa na limekuzidi mwendo usipaparike kulidandia hasa kwa mbele unaumia vibaya sana na ni heri uumie kiuno tupunguze kizazi kibovuMna maneno mengi sana yasiyo na Tija badala mjadili anguko na Kushindwa Kwa maandamano uchwara Mko busy na Dua la kuku 😆😆
Huko mnakoita kitchen cabinet kama Kuna watu wanatumia nafasi ndivyo sivyo watawajibika wao as individual na sio Dua la kuku la kuangusha Serikali,hizi ndoto mlianza siku nyingi ila mumeshindwa.
Asomaye na aelewe.Himaya huinuliwa na watu na himaya huangushwa na kupitia..
Ni kwa kupitia maono, mahitaji ya nyakati na kikomo cha muda.. Utawala husimama ama huanguka
Watu kama viumbehai vyenye utashi ni mtaji mkubwa sana kwenye himaya yoyote ile.. Watu hao hugawanyika katika makundi kadhaa
Wabeba maono/waongoza njia
Wasaidizi wao
Watendaji wakuu
Watendaji wa kati
Watendaji wa chini
Wanahimaya waongozwaji.. Watawaliwa..!
Hili kundi la mwisho ndio kundi msingi lenye mrejesho halisi toka kwa makundi mengine yote! Mrejesho hasi ama chanya!
Kuna kitu kipya kimeibuka sasa kunaitwa kitchen cabinet.. Unaweza kutafsiri kama kabati la jikoni ama baraza la jikoni nknk..
Jiko ndani ya nyumba ni muhimu sana maana ndipo kilipo chanzo cha shibe na nishati ya himaya ya mwili...
Waswahel wanasema nyumba ni choo.. Kwakuwa ni rahisi kutunza kilichoko jikoni(kiingiacho) kuliko kitokacho
Meko njema hustawisha afya na uhai wa wana familia ndani ya kaya! Meko mbovu ni sumu na anguko la kaya ndani ya familia
Kitchen cabinet inayopigiwa kelele kwa kila aina ya ubaya na uchafu sijui iko halali kiasi gani kisheria.. Lakini kutokana na mazonge yake inaweza kuwa ndio chetezo cha anguko la himaya 2025.. Kwakuwa uturi wake haunukii tena bali unatoa harufu kali ya uvundo unukao sana na Wanahimaya wamechoshwa na harufu mbaya
NiNi hatari sana porojo zinapogeuzwa mijadala!
Ukiona gari ni kubwa na limekuzidi mwendo usipaparike kulidandia hasa kwa mbele unaumia vibaya sana na ni heri uumie kiuno tupunguze kizaziMna maneno mengi sana yasiyo na Tija badala mjadili anguko na Kushindwa Kwa maandamano uchwara Mko busy na Dua la kuku 😆😆
Huko mnakoita kitchen cabinet kama Kuna watu wanatumia nafasi ndivyo sivyo watawajibika wao as individual na sio Dua la kuku la kuangusha Serikali,hizi ndoto mlianza siku nyingi ila mumeshindwa.
MTAZAMO hapa si kulalamika bali ndio mahala pekee pa kuweza kujadiliana kwa weledi. Na ili iwepo mada jadilika ni lazima awepo mchokoza madaMimi nafikiri badala ya kulalamikia KC tungepaswa kushangaa idara zetu kushindwa ushawishi hadi dada yetu Maria asaidie kupiga kelele.
Ipo siku maelekezo yatatokea kwa jirani na tutaishia kulalamikia mitandaoni kama watu walioshiwa mbinu.
Aisee😯Pia hapa nakubaliana kabisa na wewe kuwa uturi wake haunukii tena bali unatoa harufu kali ya uvundo unukao sana na Wanahimaya sio tuu wamechoshwa na harufu mbaya bali walichoshwa siku nyingi, ila mwili wa binadamu ni mwili wa ajabu, mtu ukikaa mahali kwenye harufu mbaya ya uvundo kwa muda mrefu, pua zako zinazoea na unakuwa huisikii tena hii harufu ya uvundo. Hivyo Wanahimaya wameisha zoea, na 2025 mwendo ni ule ule mwendo mdundo wa Unachukua...
Unaweka...
Waa...
P